Kutokana na kukua kwa teknolojia . ..vijana wetu wamekuwa na shughuli nyingi zisizowapa elimu faida katika masomo yao....sehemu kubwa ya wasomi wetu hawa huishi chini ya uangalizi wa "mahausigeli" kwa sababu wazazi wengi wanakuwa wamebanwa na shughuli nyingine za kiuchumi...labda tuanzishe mitandao mingi inayohusiana na elimu ya vijana....tuanzishe chaneli za bure za vijana za taaluma kama hizi tulizonazo zinazofundisha mahusiano na elimu ya uzazi kwa vijana chini ya miaka 18.....