Vioja kwenye phone book

sinafungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2010
Posts
1,527
Reaction score
868
Zama za awali mahusiano yalipokuwa matamu bint alipata mpenziwake. kwenye simu akam-save..........

1. urafiki wa mwanzo(boy friend) --------- ----SWEET HEART
2. baadaye alipochumbiwa----------------- ----HONEY
3. baada ya kuolewa --------------------------HUSBAND
4. baada ya ya mwaka mmoja (jina lake) ---- JIMMY
5. baada ya miaka miwili -------- ------------ JINA LA MTOTO WAO
6. baada ya miaka minne----------- ----------- MSUMBUFU
7. baada ya miaka saba-----------------------BATTERY LOW
8. baada ya miaka kumi----------------------- KIMEO
 
haaaaa haaaa kwiiiiikwiiii hayo ni mabadiliko ya technology katika ndoa
 

9. Gubegube
10. Gume gume
11. Gude gude
12 mtu mzima hovyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…