Vinyozi wanahitajika Morogoro

Vinyozi wanahitajika Morogoro

Ganador

New Member
Joined
Jan 6, 2015
Posts
3
Reaction score
0
Habari wadau
Ninahitaji vijana wawili wanaojua kunyoa,sifa zao ziwe kama ifuatavyo
1.Wawe ni waaminifu wenye hofu ya Mungu na awe anishi Morogoro mjini
2.Wawe wanauzoefu wa kunyoa kwa muda usiopungua miaka mitatu
3.Wawe wanaweza kunyoa mitindo yote
4.Elimu kuanzia darasa la 7 mpaka form four na umri usipungue miaka 18 na usizidi miaka 30
5.Awe anauwezo wa kufanya marekebisho madogo madogo ya mashine za kunyolea kama kutengeneza,kubadilisha wembe na kuset zifanye kazi vizuri
6.Awe anauwezo wa kutumia wembe maalum wa kunyolea(staright razor cut),angalia picha hapo chini

upload_2017-1-13_7-30-1.jpeg


7.Awe anaweza kunyoa ndevu kwa kutumia magic powder
8.Awe anaweza kutumia dawa mbalimbali kwa kuwaudumia wateja kama easy wave,easy black, na zingine.
Kwa yule ambaye yuko tayari au unamfahamu mtu anayekizi vigezo ninaomba uni pm.Ofisi iko Morogoro ni Barabershop.Vinyozi wanahitajika mapema iwezekanavyo,tuwasiliane ili tupange siku ya kufanyiwa interview.
 
Haupo serious, kuna mwenzako hapa alilizwa akaachiwa na madeni juu
 
Back
Top Bottom