zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Mwizi Alibomoa nyumba
akaingia kwenye stoo akaona vinyama
kwenye kibakuli vilivyokauka,
akaonja kimoja akasikia ni
kitamu kina Chumvi! Akafurahi akakaa
chini akala vyote, alipomaliza akaangalia juu ya Mlango akaona pameandikwa 'Chumba cha Kutairia', Jamaa Akazimia!
Sio Jukwaa lake hapa.
Sio Jukwaa lake hapa.
Nipo chit chat stor napgia huku,jukwaa lake lina nembo.acha mikausho.
Nipo chit chat stor napgia huku,jukwaa lake lina nembo.acha mikausho.
wacha nasi tucheke leo tuongeze siku za kuishi jf.
Hata kama unapigia stori huku CC,
Jukwaa la Jokes hulioni?
Hahaahahhahaahahah zologwa mbabe
hahahahhahahhahahahhahahahaah
gunia lako la chawa lipo wapi?
Hahaha hubby
Shemeji kuwa mpole bs,leo umeniota nini.
Ndio.
Tena umenibeba mgongoni shem,
Ha ha ha ha ha huo mwili woteeee...mgongoni wangu ulipata axdent..
Uliniona wapi shem?