Vingunguti, Dar es salaam

Hivi mtu anaishije hapo
Hapo panaitwa kidarajani na sasa hv uchafu umepungua mnoo!hawamwagi tena taka kama mwanzo,kule mbele panaitwa Spenco kama sikosei wanamwaga vinyesi vya jiji zima ngoja Siku za mvua sasa harufu hiyoo!!na watu wanaishi hukoo na pia ukipita utakuta watu wamekaa nje wanakula habari hawana!huko ndo uswahilini sasaaa!!

Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
 
Kweli bado tunasafari ndefu
 
Huko Vingunguti na Buguruni hata nyumba ya bure siwezi kuishi. Yaani huko ni uswahilini machafumachufu haswa. Ardhi yake ina chemchem na vile vyoo vya shimo mambo yote yako hewani na hapo pembeni utakuta raia wanapika na kuuziana supu.
 
Ila kuna watu wanamaamuzi magumu sana, hapo mtu anakomaa kuishi hapo ili aonekane kwamba naye anaishi dsm huku akitukana wanaoishi mikoani

wabongo ndo tulivyo kuna maeneo mtihani mengine kama manzese,tandale wee hatari tupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…