*VING'AMUZI*

Jack02

Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
6
Reaction score
0
DSTV leo wamezifungia channels za Tanzania except TBC. Sasa sijui inakuaje inamana kama nataka kuangalia taarifa ya habari inakuaje.
 
Walikata jana nyt, mamaa anaweka marudio ya shilawadu mda huohuo wakazikata, nkaendelea kuangalia game la supersport utd
 
tumieni FTA...channel bila mipaka,kwa anehitaji ninavyo vi3 kwa bei 1..iko speed hd s1,srong 4669x na humax hd ir 1000 bei kwa vyote ni 180000/
ukiongeza na 20k unapewa na dish la ft 6(bila lnb) kwa 200k utaenjoy channel za ndani na nje + iptv streaming
 
DSTV leo wamezifungia channels za Tanzania except TBC. Sasa sijui inakuaje inamana kama nataka kuangalia taarifa ya habari inakuaje.
iweje.....! angalia TBC
 
Hata mimi hizo channel naambiwa ni blocked
 
Badilisheni ving'amzi me natumia king'amuzi cha wasira
 
Azam pia majanga hayo hayo hakuna ITV, CLOUDS,EATV,CAPITAL,TVE,CHANEL 10,WASAFI,DIZZIM...WAMENIUDHI SAANA
 
Walikuwa wapi?
 

Attachments

  • IMG_20180811_074215_045.jpg
    111.6 KB · Views: 34
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…