Halafu hawa Zuku mbona hizi local stations hazionyeshwi bure kama sheria inavyosema ,au sheria ipo kwa StarTimes tu,na si kwa Zuku na Dstv?Sheria ni msumeno kila mtoa huduma lazima atoe huduma kufuatana na sheria za nchi,inasikitisha pale akina Mungi wanapodai hizo Zuku na Dstv mikataba yao ipo tofauti,kivipi?kwa mfano wakati wanaomba hivyo vibali TCRA hawakuona hayo mapungufu?mbona SatrTimes walianza muda mrefu kuliko Zuku na wakapewa hayo masharti,iweje kwa hao makaburu masharti yapindishwe?TCRA na Professor wao buuure kabsa,yaani wanakula kodi zetu bure halafu wanawapendelea wageni