Ving'amuzi jamani..

juniour12

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
407
Reaction score
378
Habari wana jamvi,...ningependa kujuzwa ni ving'amuzi gani ambavyo kwenye chanel zake naweza pata angalia Emanuel Tv(TB-Joshua) na baadhi ya Stesheni nyingine za Dini?.
 
Habari wana jamvi,...ningependa kujuzwa ni ving'amuzi gani ambavyo kwenye chanel zake naweza pata angalia Emanuel Tv(TB-Joshua) na baadhi ya Stesheni nyingine za Dini?.

Nunua ting au nunua dish la futi 6 na LNB YA KU BAND KWA AJILI YA YA EMMANUEL TV na nyingine nyingi sana zaidi ya 20 za dini pia weka LNB YA C BAND KWA AJILI YA local channel okay. Hutalipia chochote kwa mwezi.
 
Funguka zaidi kwa kutuelezea aelekeze dish lake kwenye satellite gani na atumie frequency gani? Nimemmis Prophet TB Joshua kule Amos 5! Hawa Ting wangetuachie hiyo channel ya Mtumishi wa Mungu.
 
ukiwa na dish la futi 6 elekeza east kule tunakopatia local channel. intelsat 20, 68.5'E, frequency 12722 V 26657, fec1/2 nafikiri utakuwa umeelewa ni bure kabisa hulipii kwa mwezi. mimi naangalia buree tena kwenye receiver ya mpg2 OKAY.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…