VINEGA v/s Watoto wa arusha {Vatoloco soldiers}

vatoloco, hamjui hip hop, unskilled lyrics, poor productions, out of beat, then nimeangalia video zenu kuna mahali fido anapiga mawashi ushiro, ngumi,my geri, so what is this for?kitu kingine fido usiwe unajisifu kua unajua ngumi kua makini sana dogo wanaojua hawajisifu wanakuangalia ila kuna siku utagusa ambako siko,i hope ulisha ona ringi ya marehemu papaa na joachim,kua makini dogo watu wanjifua kimya kimya.
 
hili beef limeingia hatua mpya leo baada ya FI DO wa vatoloco kuhojiwa na radio ya watu kipindi cha power breakfast na kumponda sana Adili wa VINEGA.... hivi hiz bifu zitaisha lini??? Naanza pata wasi huyo FIDO ni mamluki
 
Hawa jamaa watakuja kuuana aisee... tuendelee kusubiri tuone!!! Ataehitaji msaada wa bastola asisite kunitafuat
 
Wala unga lzma ni vchaa hao hawajui watendalo,fido nafkri anadhani yupo pekee yake apa duniani,as 4 ibra old skul plus new skul plus Plama=?????
 
Me nimegundua kua Fido ameona njia rahisi ya kutoka, ni kuingia katka beef na vinega ili apate support ya clouds
 
Tatizo hata hao vinega hamna wasanii wa maana .........maana D wa ghetto, na jamaa wengine ni weupe tu.ila votoloco wanajua kuchana ingawa kwenye msafara wa mamba na kenge wapo.
 
kwani vinega wenyewe wametoka?kwamba wanaweza kutoa mtu akifanya bifu nao??

inawezekana unatamani kuwa kipofu tu.....
Hao vatoloco soya wajipange na post zao za kutumwa maana hata mtoa mada inaonesha yupo upande gani ukisoma post yake vzuri
 
inawezekana unatamani kuwa kipofu tu.....
Hao vatoloco soya wajipange na post zao za kutumwa maana hata mtoa mada inaonesha yupo upande gani ukisoma post yake vzuri

sijui kama ulichosema nimekielewa mpaka ulipotaka nielewe,ila swali langu linabaki hivi,kama mimi ni msanii na nataka kutoka kwa kutumia bifu,niwa'diss nani na nani kati ya vinega wanaokubalika kwa watanzania wengi ili awe 'amenibeba' na mi nifahamike??
 
Tatizo hata hao vinega hamna wasanii wa maana .........maana D wa ghetto, na jamaa wengine ni weupe tu.ila votoloco wanajua kuchana ingawa kwenye msafara wa mamba na kenge wapo.

Post yako ya ukweli hii mkuu ...
 
Back
Top Bottom