Vincent Nyerere alivyounguruma Babati mjini - Nov 15, 2014

otorokoko

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
2,437
Reaction score
157
Mwenyekiti wa chadema mkoa wa mara na pia mbunge wa jimbo la musoma mjini amewasha moto leo katika viwanja vya babati mjini na kupokea wanachama wapya kutoka ccm.Kamanda Vincent Nyerere ameamua kuitendea haki operation delete ccm.Pia amewaasa wananchi
kuthamini chaguzi za chini wasingoje tu ikulu
ya dar es salaam,ikulu ianzie kwenye
vijiji,mitaa na vitongoji.Na kwa pamoja wananchi
wamesisitiza hawatomuangusha lazima waifute
kabisa CCm katika chaguzi-za serikali za mitaa.
 
Vicent Mara kumemshinda anarukia Babati. Kwanza Vicent anafanya mkutano Babati kama nani? Mwenye mamlaka ya kufanya mkutano Babati ni Paulina Gekul kwa sababu ni jimboni kwake. Vicent anadandia treni kwa mbele.. Arudishe bange zake Musoma.
 
Ame delete vilivyo ccm leo na tumevua magamba kweli kweli umebaki gamba mwenyewe
 
Vicent Mara kumemshinda anarukia Babati. Kwanza Vicent anafanya mkutano Babati kama nani? Mwenye mamlaka ya kufanya mkutano Babati ni Paulina Gekul kwa sababu ni jimboni kwake. Vicent anadandia treni kwa mbele.. Arudishe bange zake Musoma.

Amefanya mkutano kwa hisani ya mama yako
 
Vicent Mara kumemshinda anarukia Babati. Kwanza Vicent anafanya mkutano Babati kama nani? Mwenye mamlaka ya kufanya mkutano Babati ni Paulina Gekul kwa sababu ni jimboni kwake. Vicent anadandia treni kwa mbele.. Arudishe bange zake Musoma.

mtoa mada ni MME WA MTU labda wewe uwe mchepuko wake
 
Last edited by a moderator:
Vicent Mara kumemshinda anarukia Babati. Kwanza Vicent anafanya mkutano Babati kama nani? Mwenye mamlaka ya kufanya mkutano Babati ni Paulina Gekul kwa sababu ni jimboni kwake. Vicent anadandia treni kwa mbele.. Arudishe bange zake Musoma.

Pole wahi mgao wa leo
 
Babati sio jamhuri ndani ta tanzania mbwiga wew vincent ana haki zote
2 gekul sio mbunge wa jimbo
3 mbunge wa babati kisyeri chambiri ni mkurya mbona hukusema arudi tarime?
 
Haka ka laki si pesa Kana laana za jaji warioba
 
attachment.php

Vicent, hizi zote ni njama za kumuua kwa pressure mzee wa pembe za ndovu..... Kinanaaaaaaaa!.... Weka mbali na ......
 
Back
Top Bottom