Vincent Kiboko Nyerere: Mbunge Musoma mjini yuko wapi?

Vincent Kiboko Nyerere: Mbunge Musoma mjini yuko wapi?

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
5,600
Reaction score
811
Mheshimiwa Mbunge Nyerere nakupa salute kwa utendaji wako wa kazi though ni kimya kimya! Ktk maandamano cjabahatika kukuona kabisa, tuyaache hayo kwan NAJUA UNAJUA! Sasa mkuu nafurahi upo FACEBOOK, bt twaomba uje humu Jamvini JF pia, huku kuna maarifa na utapata mawazo mbadala.. Kwa aliye na contact zake anisaidie niwasiliane nae personal, Huyu ni mbunge wa jimbo langu zaid ni KAMANDA!
 
Unaonaje ukimwalika kutokea huko fb maana unaongea kama zimwi!

Kama unajua hayumo humu ok atasoma vipi huu ujumbe ambao hakika ni wake peke yake? au unahisi yumo ila unataka kuthibitisha? hakika hueleweki unaleta ujumbe gani wa kisiasa katika hii thread!
 
FACEBOOK ni social netwok, so privace haipo, afta ol cjawahi itumia kitambo sasa. Mwenye mawasiliano yake pls alete, sote twatambua JAMII FORUMS ni Jamvi hodari kwa watu makini zaidi ya Fb!
 
ujumbe wa kisiasa hapo mkuu ni kwamba huyo bwana ajiunge Jf km wabunge wenzake na makamanda wengine mfn zitto, mnyika, regia mtemwa etc kuna hoja huibuka humu na huitaji maoni yao so kuwa mbali anakosa mambo pia anatunyima mambo! Pia kumbuka huyu ni mbunge wa jimbo langu, so kuwa jamvini ni rahisi kubadilishana mawazo! Facebook si mtandao kwa mtu yoyote makini!
 
ingia ktk fb andika jina lake kwenye search afu kwenye info. utapata kontakt zake.
 
ujumbe wa kisiasa hapo mkuu ni kwamba huyo bwana ajiunge Jf km wabunge wenzake na makamanda wengine mfn zitto, mnyika, regia mtemwa etc kuna hoja huibuka humu na huitaji maoni yao so kuwa mbali anakosa mambo pia anatunyima mambo! Pia kumbuka huyu ni mbunge wa jimbo langu, so kuwa jamvini ni rahisi kubadilishana mawazo! Facebook si mtandao kwa mtu yoyote makini!

Ndugu yangu,unaweza ukawa unaongea vitu usivyovijua.Katika dunia hii facebook imesaidia kuleta mabadiliko makubwa sana haya ya ku-share idea.
Maana sikuelewi dunia hii ya sasa web 2.0 applications such as facebook zina mchango mkubwa sana tatizo tu ni matumizi.
Watu makini wanatumia facebook
 
Facebook is more than you know dude!! you have to go beyond the expectation then you will see and know what facebook is. Watu wengi makini wanatumia facebook katika inshu mbali mbali za kimaendeleo, kisiasa, kisayansi nk!!

Kuhusu Mh Nyerere, nadhani kuna umuhimu wa viongozi wetu wengi kujiunga na mtandao wetu ili waweze kupata na kutupa vitu aambayo tunataka wafanye/ watupe.
 
Huu ni upuu basi kama tunaendele kujadili hili swala huku tukijua wazi ujumbe hauwezi kumfikia, kwanini ujumbe husifikishwe?

Mto mada huwezi kudondosha barua kwenye wrong address alafu ukasubiri majibu kwa hamu kutoka kwa addressee ambaye wazi hatopata barua yako!

Umesema yupo fb why don't you advise him there all and whatever you are doing here? unapoteza muda na kuweka watu bizi na kitu chenye kiwiliwiwli bila kichwa wala miguu, halafu hili swala la kuaminisha watu kuwa kila kiongozi ndani ya CDM ni kamanda pia si sahihi hata kidogo! hiyo inaweza kutufikisha pa baya ni vyema kila kiongozi akapimwa kwa utendaji na ushahidi unaopimika 'viashiria vya utendaji' badala ya kila mtu kuitwa kamanda kiujumla jumla bila ushahidi wowote!

Chama siyo jina la chama! kama viongozi mmoja mmoja hatothibitishwa kuwa anafahaa kwa viashiria basi tutarudi kuwa kama CCM siku moja! (Namba huu ujumbe uwafikie CC na NEC Chadema)
 
TURUDI KWENYE MADA, Hoja hapo sio facebook, hoja hapa ni mawasiliano na mkuu then ajiunge na jamvii atupe mambo!
 
Mheshimiwa Mbunge Nyerere nakupa salute kwa utendaji wako wa kazi though ni kimya kimya! Ktk maandamano cjabahatika kukuona kabisa, tuyaache hayo kwan NAJUA UNAJUA! Sasa mkuu nafurahi upo FACEBOOK, bt twaomba uje humu Jamvini JF pia, huku kuna maarifa na utapata mawazo mbadala.. Kwa aliye na contact zake anisaidie niwasiliane nae personal, Huyu ni mbunge wa jimbo langu zaid ni KAMANDA!

post yako inaonesha humu Jf hayumo sasa umemuandikia nani? hii post ulikuwa uiandike kule ambako umetaja yuko(fb). Ama kuhusu kuandamana si dhani kama wabunge wenye busara zao umesha wahi kuwaona hata siku moja kwenye upuuzi huo. Lini ulimuona Tundu+Zitto?
 
kama wewe unavyotumia jina la kichina( bandia) ndivyo na yeye anavyotumia......ila najua yumo humu. kwani unaogopa nn kutumia fb kumwalika.
 
post yako inaonesha humu Jf hayumo sasa umemuandikia nani? hii post ulikuwa uiandike kule ambako umetaja yuko(fb). Ama kuhusu kuandamana si dhani kama wabunge wenye busara zao umesha wahi kuwaona hata siku moja kwenye upuuzi huo. Lini ulimuona Tundu+Zitto?
For your info, Zitto alikuwepo Sumbawanga. There!
 
Nyerere yupo jimboni kwake Musoma, mtafute huko.
 
Back
Top Bottom