Nashangaa..naona bagah analeta shemejishemeji huku mwazima taa...lol
atakula ban we mwache tu
Huyu ndio mzee wa mapicha
Wewe mbona usiku wa manane unaonekanaga unalandalanda
Nimeona dia...nimeishiwa nguvu kabisa! Erick mpe tu swalamu za upendo wa dhati...
ukiniona naranda randa jua kuna mtu kanitoroka
nakuwa nataka kumrudisha kifungoni.
Jumamosi poa kabisa.....Poa, jmosi shwari?
Hahahahaaaa ila wewe ni unaniponza halafu badala ya kunitetea unawahi kunipiga vijembe kwa wife wanguTatizo ulevi wako unamfanya Amyner ajifeel mpweke sasa wewe mpaka saa tisa usiku hujarudi nyumbani unategemea nini?
Tumo ila huwa tunarandaranda na mumeo siunajua tunavizia kujua wezi wa wake zetuHutajwi?..
Yah jamaa wako vizuri sana kwa mapichaPia kwa mapicha usimsahau figganiga!!
Halafu nilikuona unamnyororo kiunoni na ngeu moja usoni kulikoni konnie
Hahahahaaaa ila wewe ni unaniponza halafu badala ya kunitetea unawahi kunipiga vijembe kwa wife wangu
Tatizo ulevi wako unamfanya Amyner ajifeel mpweke sasa wewe mpaka saa tisa usiku hujarudi nyumbani unategemea nini?
Mimi au Bagah...?Sasa wewe tunakuambia nenda nyumbani unasema waiter keshakuandalia chumba ulitegemea tufanye nini?
Hahahahaaaa nina kesi kubwa na wewe.....ugomvi unaoutafuta huuwezimwambie uyo chalii!
Mimi au Bagah...?
Tusianze kutoa siri zetu za kule....SL atakuacha oooh
mbona huwa analalamika hakuati JF wala home?SL hawezi kuniacha tumekula agano la maana halafu mbona hata yeye anajua kuwa sichelewagi nyumbani?
mbona huwa analalamika hakuati JF wala home?
Mara nyingi mimi huwa ninasafiri ila safari zangu nyingi huwa ni za ghafla
Hahahahaa anamdangana umesafiri kumbe unaungana na Bagah kwenda kunywa banana