Vimwana wa Arsenal ...

Sasa jamani kwa viwango hivyo vya warembo tulivyoviona hapo kuna haja gani arsenal kuundelea kuwa klabu ya mpira wa miguu? Si wangefungua tu kampuni ya urembo maana wangenyakua mataji si mchezo! Kuliko hii aibu wanayotupa.
 
Kwa staili hii kaka zao kila siku watakuwa wanakula nane.
...Wanawategua magoti kwa nini wasilambishwe 8 na siku ile ilitakiwa wagongwe 10 ni vile Man Utd nao walikuwa na kiherehere.....Mnaringia vimwana?
 
Mi nashangaa mtoa mada kaja na mada yake mijitu inaichakachua kwa habari za kufungwa kwa Arsenal!
Wewe arsenal ikishinda au ukifungwa kumi unafaidika vp? Matatizo uliyo nayo yanaisha au?
punguza jazba kijana.
 
Mi nashangaa mtoa mada kaja na mada yake mijitu inaichakachua kwa habari za kufungwa kwa Arsenal!
Wewe arsenal ikishinda au ukifungwa kumi unafaidika vp? Matatizo uliyo nayo yanaisha au?
Wewe utakuwa arsenane tu...........
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…