Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,878
- 8,063
Mbona umemzungumzia Musu -K pekee wakati hukuanzia juu?kwahiyo msukuma ndio sababu ya TZ kuwa maskini wa kutupwa?
Mbona umemzungumzia Musu -K pekee wakati hukuanzia juu?
Hata hivyo,unaijua kazi ya msingi ya huyo Musu -K Bungeni ni nini na wenzie anaofanana nao na umuhimu wa hiyo kazi kwa msitakabali wa Tanganyika?
These are silly US-born Kenyans and Kenyans, doing all these for validation. You fools are sick!Walio tembea Tanzania na sio wakenya ama Watanzania maoni yao ni dhabiti.,, msijidanganye.,
View attachment 3357771
Yule Brian Odira yuko wapi siku hizi?The guy gave an objective observation, no bias, pole for your dissatisfaction and disappointment, unalazimisha eti am obsessed na validation ya foreigners 🤣🤣🤣🤣, a flimsy excuse, pole sana dogo, iko ilivyo, kwa hizi fikra zako haubadilishi lolote.,
Kwani huwa wanapingana au ni kugonga meza tu?hao waliokuwa chumba cha 7, percent yao ni ngapi bungeni?
Ulitaka awe blogger wa Tanzania?An article from a South African blogger??
Watanzania hawashuguliki kabisa na wakenya wakati mnajua hadi majina ya mawaziri wetu, magavana na hata wabunge kadhaa? Will you believe it that an average Kenyan doesn't even know the name of your vice president, me here included?Wakenya wako very obsessives na Tanzania, wakati watanzania hawashuhuliki kabisa na wakenya. Hiyo ndio hali ya love story yetu.
But that's the truth, who told you Tanzanians hate Kenyans?1. Tanzanians don't hate Kenyans.
2. Tanzanians have no time for Kenya or Kenyans.
Yani huoni unajikanganya hapo?
We will NEVER FORGET. NEVER.Nimeweka link tatu, sio Moja. Na hao sio bloggers. Alafu huwa mnataka link kutoka mbinguni ndio mkubali ama huwa mnatakaje? Basi wewe Lete source yako inayosema ukweli.