Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Kumbe we mwenyewe hujui chochote,, sasa kipi kimefanya ulete uzi humuSaint Petersburg.Mtanzania aliyeko huko Moscow atujuze kuhusu mdororo wa uchumi
Kwa haya uliyoandika unaitendea haki kweli nafsi yako?Russia bado inauza nje bidhaa zake kama kàwaida.kama gesi na mafuta anauza india na china mara 3 zaidi alivyokua anauza nchi za magaribi.utalii bado upo sana
Hizo nchi za west bado zinafanya biashara na urusi .huyo marekani ndiyo usiseme
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani Dunia inamuitaji Urusi, kuliko Urusi inavyoitaji Dunia.Hamna vita ngumu kama ya kuwekewa vikwazo vya uchumi, huuzi, hununui, Mali za matajiri zinazuiliwa , baadhi ya nchi haupati visa , makampuni makubwa kufunga Biashara na kuondoka , bila kusahau utalii ndio umekufa Huko Saint Petersburg.Mtanzania aliyeko huko Moscow atujuze kuhusu mdororo wa uchumi , sio hawa wapuuzi wanaomshabikia Matakore PUTIN.
Bangi mbaya sana.Russia bado inauza nje bidhaa zake kama kàwaida.kama gesi na mafuta anauza india na china mara 3 zaidi alivyokua anauza nchi za magaribi.utalii bado upo sana
Hizo nchi za west bado zinafanya biashara na urusi .huyo marekani ndiyo usiseme