Vikwazo na Maajabu ya Lowassa! Jiulize kwanini?

Khaa!!! Huyu jamaa ana nyota ya KUKATWA refer the history.....
 
Lowasa hachafuliki tena wanahangaika tu na ndyo rais ajaye
Wakitaka kumchafua lazima wajichafue wenyewe kwanza ndiyo wampate!! Inachekesha.
 
CCM wafike mahala wajue kuwa mambo mengine ni nyakati tu umefika wa CCM kufa ... hakuna Sababu nyingine Zaidi ...
 
KUN FAYA KUN .... Ilikuwa lazima akatwe ndani ya CCM ili Unabii utimie .... Haya ni mambo ya nyakati tu! Ilikuwa lazima CCM ife Mwaka huu kupitia Lowassa ...

Khaa!!! Huyu jamaa ana nyota ya KUKATWA refer the history.....
 
KUN FAYA KUN .... Ilikuwa lazima akatwe ndani ya CCM ili Unabii utimie .... Haya ni mambo ya nyakati tu! Ilikuwa lazima CCM ife Mwaka huu kupitia Lowassa ...
Bila kukatwa saizi tungekuwa na Dr. Mihogo tunahangaika nae ambaye CCM walikuwa wanauhakika wa kushinda mchana kweupe!!
 
Kutoka mtuhumiwa wa ufisadi hadi kuwa shujaa wa maabdiliko na harakati za ukombozi siyo mchezo.
Mkuu,Lowasa ndo rais wetu mwaka huu,pamoja na yote hayo lakini tutamchagua hapo ndo ananishangaza mtu huyu
 
Magufuli for president.watanzania tumeshaamuwa.say no kwa mafisadi.
 
Lowasa akija mwenyewe nyumbani kwangu usiku wa tar 24 akanikaba na kuniibia kila kitu bado tuu asbuh ya tar 25 mapema sana ntampigia kura. Haya ndo mahaba yaliponifika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…