Vikwazo dhidi ya urusi

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,230
Reaction score
9,360
Vikwazo vilivyowekwa dhidi ya urusi na viongozi wa juu wa taifa hilo ni kwakias gani vitaiathiri urusi na maisha ya warusi kwa ujumla...?
 
Tuko ATM Moscow apa tunatoa hela zote .maisha sio poa
 
Vikwazo ndio vitamwangusha Putin Chini. Maana kunaweza kutokea popular uprising ndani ya Urusi kutokana na ugumu wa Maisha. Kumbuka Corona imeaffect Sana uchumi wa Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…