Vikundi maalumu vya Kijeshi visivyo rasmi ni hatari

Mwaipopo no mzalendo tu
Uzalendo si ni pamoja na kufuata sheria za nchi, sasa kama unaunda jeshi lako kinyume na sheria za nchi kisa uzalendo kuna tofauti gani na wenye kuandamana ambao wanaambiwa hawafuati sheria au wanavunja kabisa sheria?
 
Hivi vikundi maalumu vya kijeshi visivyo rasmi vinavyo tumika kulinda mamlaka kwa njia yoyote ni hatari sana tena zaidi ya hatari.

Huko tuendako kama nchi ni hatari hivi vikundi vikiendelea kuchekewa na kutumika kuumiza na kuua watu katika mfumo usio rasmi ni njia mbaya.

Hivi vikundi vikilewa madaraka huwa ni vibaya sana kwanza huwa sio jeshi rasmi hivyo hata mfumo wake wa kupokea order ni tofauti kabisa na jeshi rasmi la wananchi JWTZ au jeshi la Polisi.

Hivi vikundi hujishikiza na walioviunda huwa vipo juu ya majeshi yote kwa sababu hata kikatiba huwa havipo rasmi hivyo vinatenda na kudharau nguvu na mamlaka ya majeshi yote rasmi yanayo tambulika.

Ni rahisi zaidi nchi kuingia katika vita dhidi ya ugaidi au civil war kutokana na uwepo wa vikundi hivi.

Mimi yangu nimemaliza najua nchi hii ina Rais iwe wa kuchaguliwa na wananchi wote ama laah pia nchi hii ina mkuu wa majeshi na hata mkurugenzi wa idara ya usalama wa Taifa haijalishi ni kwa namna gani chama cha mapinduzi kimeharibu hii nchi toka uhuru mpaka sasa tena hasa huu utawala uliopo sasa madarakani lakini nawasihi tumieni hata punje za akili zenu huu ni wakati sahihi kuiokoa nchi huko mahali tuendako ni pabaya.

Haya makundi huchipua kama mchicha baadae hugeuka mbuyu na hapo ndipo ambapo yanakuwa hayawezi kuzuilika na mamlaka za ndani.

Leo yanaweza kuwa upande wenu kesho yakawa yana pambana nanyi huku maafa makubwa yakiwafikia wananchi wasio na hatia kutokana na uzembe na upuuzi wenu.

Nawakumbusha tena kila mwaka mnazalisha vijana wa JKT walio na mafunzo na kuwarudisha mtaani huku mkiendelea kuchekea makundi ya kipuuzi kama haya.

Nanawa mikono kama Pilato.
Putin alishindwana na yule kiongozi wa lile kundi la Wagner PMC kwa sababu za kimaslahi - Wagner walitaka malipo makubwa na pia wawe ndo watoa Amri kwenye medani za kivita dhidi ya Ukraine.
Tumwombe sana Mungu atupishilie mbali hali hiyo. Polisi na JW wetu tuna imani nao na wanatutosha kabisa.
 
Hivi vikundi maalumu vya kijeshi visivyo rasmi vinavyo tumika kulinda mamlaka kwa njia yoyote ni hatari sana tena zaidi ya hatari.

Huko tuendako kama nchi ni hatari hivi vikundi vikiendelea kuchekewa na kutumika kuumiza na kuua watu katika mfumo usio rasmi ni njia mbaya.

Hivi vikundi vikilewa madaraka huwa ni vibaya sana kwanza huwa sio jeshi rasmi hivyo hata mfumo wake wa kupokea order ni tofauti kabisa na jeshi rasmi la wananchi JWTZ au jeshi la Polisi.

Hivi vikundi hujishikiza na walioviunda huwa vipo juu ya majeshi yote kwa sababu hata kikatiba huwa havipo rasmi hivyo vinatenda na kudharau nguvu na mamlaka ya majeshi yote rasmi yanayo tambulika.

Ni rahisi zaidi nchi kuingia katika vita dhidi ya ugaidi au civil war kutokana na uwepo wa vikundi hivi.

Mimi yangu nimemaliza najua nchi hii ina Rais iwe wa kuchaguliwa na wananchi wote ama laah pia nchi hii ina mkuu wa majeshi na hata mkurugenzi wa idara ya usalama wa Taifa haijalishi ni kwa namna gani chama cha mapinduzi kimeharibu hii nchi toka uhuru mpaka sasa tena hasa huu utawala uliopo sasa madarakani lakini nawasihi tumieni hata punje za akili zenu huu ni wakati sahihi kuiokoa nchi huko mahali tuendako ni pabaya.

Haya makundi huchipua kama mchicha baadae hugeuka mbuyu na hapo ndipo ambapo yanakuwa hayawezi kuzuilika na mamlaka za ndani.

Leo yanaweza kuwa upande wenu kesho yakawa yana pambana nanyi huku maafa makubwa yakiwafikia wananchi wasio na hatia kutokana na uzembe na upuuzi wenu.

Nawakumbusha tena kila mwaka mnazalisha vijana wa JKT walio na mafunzo na kuwarudisha mtaani huku mkiendelea kuchekea makundi ya kipuuzi kama haya.

Nanawa mikono kama Pilato.

Awamu hii inaruhusu. Sijui kwa kutumia vigezo gani.

Isipokuwa ngoma ya watoto huwa haikeshi. Hizi approach huwa hazina lasting njema, sababu tawala zinabadilika.

Ina maana hawaoni kuna shida mbele ya safari, hata kwao wenyewe?
 
Hivi vikundi maalumu vya kijeshi visivyo rasmi vinavyo tumika kulinda mamlaka kwa njia yoyote ni hatari sana tena zaidi ya hatari.

Huko tuendako kama nchi ni hatari hivi vikundi vikiendelea kuchekewa na kutumika kuumiza na kuua watu katika mfumo usio rasmi ni njia mbaya.

Hivi vikundi vikilewa madaraka huwa ni vibaya sana kwanza huwa sio jeshi rasmi hivyo hata mfumo wake wa kupokea order ni tofauti kabisa na jeshi rasmi la wananchi JWTZ au jeshi la Polisi.

Hivi vikundi hujishikiza na walioviunda huwa vipo juu ya majeshi yote kwa sababu hata kikatiba huwa havipo rasmi hivyo vinatenda na kudharau nguvu na mamlaka ya majeshi yote rasmi yanayo tambulika.

Ni rahisi zaidi nchi kuingia katika vita dhidi ya ugaidi au civil war kutokana na uwepo wa vikundi hivi.

Mimi yangu nimemaliza najua nchi hii ina Rais iwe wa kuchaguliwa na wananchi wote ama laah pia nchi hii ina mkuu wa majeshi na hata mkurugenzi wa idara ya usalama wa Taifa haijalishi ni kwa namna gani chama cha mapinduzi kimeharibu hii nchi toka uhuru mpaka sasa tena hasa huu utawala uliopo sasa madarakani lakini nawasihi tumieni hata punje za akili zenu huu ni wakati sahihi kuiokoa nchi huko mahali tuendako ni pabaya.

Haya makundi huchipua kama mchicha baadae hugeuka mbuyu na hapo ndipo ambapo yanakuwa hayawezi kuzuilika na mamlaka za ndani.

Leo yanaweza kuwa upande wenu kesho yakawa yana pambana nanyi huku maafa makubwa yakiwafikia wananchi wasio na hatia kutokana na uzembe na upuuzi wenu.

Nawakumbusha tena kila mwaka mnazalisha vijana wa JKT walio na mafunzo na kuwarudisha mtaani huku mkiendelea kuchekea makundi ya kipuuzi kama haya.

Nanawa mikono kama Pilato.
Kuna mjinga mmoja sijui she mwaipopo ametangaza kuwa na kundi ,mimi niseme cha kigaidi maana hana mamlaka yoyo kuwa na kundi ilo ,kama taifa tumefika pabaya , ila sishangai sana nchi ambayo ndani kuna watu kama bashite, n.k
 
Back
Top Bottom