Umuhirindahu
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 349
- 170
Vikosi vya Chad vimevuka mpaka na kushambulia msitu walikojificha Bokoharam baada ya kuteka nyara watoto wa kike wasiopungua 200,taarifa kutoka jeshi la Chad wamepoteza askari 9 kwa upande wao.
ila Boko Haram ni wengi hawaishi asee
Wameenda kupata mabikira 72 sio ishu sana