Kwani kocha wa Yanga mbaya?Bila kocha mzuri hakuna kazi hapo
Bila Duke Abuya hakuna YangaBila kocha mzuri hakuna kazi hapo
Utopolo.HIZI SIO TIMU MBILI TOFAUTI, HII NI YOUNG AFRICANS. Na hiki ndicho kitu tulichokikosa msimu uliopita ambapo hatukuwa na kikosi kipana kama hivi kutokana na sababu mbalimbali kama majeraha yaani ilifika wakati kwenye benchi unamuona Damaro na Depu pekee ambao wanaweza kuingia na kubadili kitu...✍️
Msimu huu tuna vikosi viwili vizito sana na hapo bado kuna wachezaji wengine 14 wapo nje kabisa mfano Toure, Sureboy, Mwijage, Casemiro, Mihambo, Mohamed Mussa, Mahsen nk.
View attachment 3652635
Mlipokutana akawakojolea kimojaUtopolo.
Walijaribu kwenye ile show yao.
Kikawalamba.
Cha ajabu CAF CHAMPIONS LEAGUE inaishia group stageHIZI SIO TIMU MBILI TOFAUTI, HII NI YOUNG AFRICANS. Na hiki ndicho kitu tulichokikosa msimu uliopita ambapo hatukuwa na kikosi kipana kama hivi kutokana na sababu mbalimbali kama majeraha yaani ilifika wakati kwenye benchi unamuona Damaro na Depu pekee ambao wanaweza kuingia na kubadili kitu...✍️
Msimu huu tuna vikosi viwili vizito sana na hapo bado kuna wachezaji wengine 14 wapo nje kabisa mfano Toure, Sureboy, Mwijage, Casemiro, Mihambo, Mohamed Mussa, Mahsen nk.
View attachment 3652635
Fyala kabisa wewe 🤣🤣🤣Mlipokutana akawakojolea kimoja