Umenikumbusha na haka ka wimbo wakati kwa kwenda usawa wa gudulia ( hasa kwa wale walipitia Makutupora)
niende mafinga nibaki makutu.....(mwimbishaji)
yote makambi makubwaa (kiitikio wote)
Amri ya jeshii iiii inanichungulia
Hata kama nikijongooo oooo inanichungulia....
duh, those days!! huwezi kusahau. Kwa ambao hamjapitia jeshini, kujongo ni kujongomea aka kutoroka. Usawa wa gudulia (sufulia kuwa la msosi)