Vikombe vya CAF vyote kwenda Afrika Kaskazini mwaka 2016

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Yanga na Ahly.jpg

KUNA kila dalili kwamba, huenda vikombe vya mashindano ya mwaka 2016 ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho vikaenda kwa timu za Afrika Kaskazini (Magreb) baada ya timu za Kusini mwa Jangwa la Sahara na Afrika Magharibi kutolewa.

Hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa tayari timu nne kutoka Kaskazini ambazo ni Al Ahly na Zamalek za Misri, Wydad Casablanca ya Morocco na Entente Sportif de Setif ya Algeria ambazo zimefuzu.

Habari zaidi, soma hapa=> Vikombe vya CAF vyote kwenda Afrika Kaskazini mwaka 2016 | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom