Ni kweli ila mostly wamama wanajitetea kwamba Wababa hawapendi au hawaamini mambo hayo sana wanahisi ni uongo na utapeli tu hivo hawawezi kusupport mambo hayo ya wanawake, ila pia baba ahangaike na pesa ya matumizi home pia na hivo vicoba tena mmh. So hii inapelekea mama kujibana kwenye hiyo bajeti aloacha Baba na matokeo ni hapo home mtashindia ugali+mabamia hadi mkome😀