Shoctopus
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 3,434
- 1,985
Ubunge ni uwakilishi sio ajira. Mtu anaejipangia kazi sio mwajiriwa. Wafanyakazi wote nchini wanatawaliwa na sheria za kazi ambazo hutungwa na Bunge. Kwahiyo Mbunge hawezi kuwa mfanyakazi.
Kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya 1977 Mbunge ni mwanasiasa, hawezi kugombea ubunge bila kuwa mwanachama wa chama cha siasa.
Kama ni hivyo kwanini
1. Mbunge alipwe "mshahara" ilhali anajipangia kazi mwenyewe?
2. Anajipangia 'mshahara' mwenyewe pamoja na marupurupu mengine (kwa mujibu wa Ibara ya 73 ya Katiba ya JMT 1977).
3. Hafanyi kazi saa 8 kwa siku, kwa mwezi wala kwa mwaka?
4. Kwanini Bunge lisikae na siku za Jumamosi kwa misingi ya "HAPA KAZI TU"?
NAOMBA KUWASILISHA!