ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,301
Naombeni kueleweshwa maana hapa kuna wajuzi wa mambo yote.
Hivi bunge linapokutana kwa mujibu wa sheria zao huwa hawana ratiba ya mambo yatakayojadiliwa? Na kama yapo inakuwaje wanapojadili maswala mengine kama habari za akina utingo wa saledalama na michepuko yake au kazi tunazowatuma ni chache mno kiasi kuwa yatpkanayo ndiyo mengi zaidi.
Kwa maoni yangu mimi nahisi kama wanatuibia sana muda jamani.Sijui wanajamvi mnaonaje hapo?