Vikao vya bunge hatarini kufungwa kwa kukosekana pesa

LTN USU WA MADOSO

JF-Expert Member
Sep 14, 2016
1,193
859
Iwapo serikali haitalipa bunge shilingi 8.3 bilioni ambazo ni bakaa katika bajeti iliyopitishwa kwa mwaka huu unaoisha wa fedha kuna uwezekano likasitisha shughuli zake

b2b6a425a6e410e4cac46b85cade19f0.jpg
 
Yangeandika magazeti mengine Wangepata cha kuongea sasa limeandika Hilo Je hawata pata cha kuongea......??

Ngoja waje
 
Jamani hii sinema au maigizo!! hivi siyo bunge hili liliroruydisha pesa serkalini mwaka jana kwamba zimepatikana kwa kubana matumizi.Leo tena hawana pesa hebu waache maigizo na sinema.
Hahahaaa we acha tu usanii wa viongozi wetu awamu hii hatari sana bora muda wao uishe tuchague dikteta mwingine labda tunaweza kubahatisha dikteta mzuri.
 
Jamani hii sinema au maigizo!! hivi siyo bunge hili lilirorudisha pesa serkalini mwaka jana kwamba zimepatikana kwa kubana matumizi.Leo tena hawana pesa hebu waache maigizo na sinema.
cheki hapa chini

Bunge labana matumizi na kuokoa Bilioni 6/-. Zitatumika kutengenezea madawati
Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FRANCIS DA DON, Apr 11, 2016.
Nadhani yalikuwa maamuzu yasiyo shirikishi 'Any decision you make in life you are responsible for it'
 
Jamani hii sinema au maigizo!! hivi siyo bunge hili lilirorudisha pesa serkalini mwaka jana kwamba zimepatikana kwa kubana matumizi.Leo tena hawana pesa hebu waache maigizo na sinema.
cheki hapa chini

Bunge labana matumizi na kuokoa Bilioni 6/-. Zitatumika kutengenezea madawati
Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FRANCIS DA DON, Apr 11, 2016.
Hivi zile kiki za mradi wa madawati ziliishia wapi? Au zilipotea na michango ya tetemeko la Bukoba?
 
Maajabu makubwa haya,si ni bunge hili ambalo pesa zimewazidia hadi wakarudisha kwa mbwembwe serikalini? Au nao ni kama ile tume ya uchaguzi kurudisha pesa na hapo hapo kudai bajeti yao finyu!
Wale wa ndio wao wanajua serikali hii inakomoa wapinzani tu,au wapinzani wakisema nchi imekwama wao wanaona ni ngonjera tu. Yetu macho na masikio.
 
Back
Top Bottom