Vijue vipindi vya TBC1

Vijue vipindi vya TBC1

Dstv imekata walivyona akili wamekata mpk TBC wameniachia channel moja tu Trace mziki na ya matangazo Dish nimewaona wana akili sana maana nakula ngoma tu non stop
 
Ubunifu ni ZERO.
kweli katika dunia ya leo mtoto ataacha kuangalia SHILAWADU aangalie MALENGA WETU ? Mleta mada kakojoe ukalale hizi ni taim za wazazi kujinafasi na walinzi kua lindoni
 
Siwezi angalia tbc, bora niweke boomelang au cartoon network niangalie na watoto
Safi Sana. Siku hizi raha sana! Mimi na wanangu ukitukuta mpk raha! Channels ni Nat Geo, Cartoon network, Nickelodeon
 
Safari ya Dodoma......kwa mamlaka niliyopewa kuanzia sasa dodoma no jiji

Ha ha ha
Tuacheni na TBC yetu
 
Back
Top Bottom