Vijisenti vya ngo ya chenge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijisenti vya ngo ya chenge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, Jun 24, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  wakuu.

  Naomba mwenye data kuhusu vile vijisenti vya chenge maana inawezekana a taarifa "official " zilizotoka zikuzipata vizuri au zote

  • Inasemekana Chenge alisema vile vijisenti ni vya NGO.
  Sasa may be nilimiss kitu je una watu waliuatilia au kuna taarifa ilitoka kujua
  • Jina La NGO yenye hizo pesa?
  • Inajishughulisha na nini?
  • makao makuu ya Hiyo NGO yako wapi.?
  • Chenge ni nani kwenye hiyo NGO?
  Wasi wasi wangu ni hizo pesa za rada watu wanataka ziende kwenye NGO lakini nadhani watu kama kina chenge wa NGO nyingi hapa bongo. Ndio maana sometime unashangaa NGO inajishughulisha na kilimo makao makuu yake yako Dar.

  SO naomba mwenye detail zaidi. na natanguliza shukrani.
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ule ulikuwa ni utetezi wakati wa mahojiano na SFO lakini ukweli ni kwamba hatujawahi kuisikia hiyo NGO ikitoa hata mbuzi na mchele kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu, hata wakati wa sikukuu. Kwa historia yake, Chenge si mtu wa kusaidia watu wenye shida. Hiyo NGO ingejishughulisha na nini kama siyo uongo? Nashangaa ambao bado wana imani na NGO na kusisitiza kwamba fedha za rada zipelekwe huko wakati tunajua zinavyo tumia wenye shida kulamba hela. Bora hata serikalini CAG anawapumulia shingoni.
   
 3. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Basi zipelekwe WAMA au hata hao huwaamini ha ha haaa fast ledi.
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mi nilidhani kuna chombo au waadishi walifutilia zaidi.

  Hivi hata hao waandishi hawajawai kuuliza kufuatilia hayo maswali?
   
Loading...