Vijimambo vya wadada wakiwa posta-DSM

Vijimambo vya wadada wakiwa posta-DSM

Uwoga wako ndiyo umasikini wako. Mbona wa kawaida sana tu hawa. Popote ukutanapo nao jiamini tu, fanya yako hawana shida.
 
Mzee sitaki kuuliza nini ulifuata huko unakoita posta, ila elewa binadamu yoyote yule anathamani kubwa sana atakama anatokea sehemu unayofikiria ni mbaya machoni mwako!

Kitu kingine ukienda huko unakoita posta wewe zingatia kitu ukifuatacho tu, na kama hauna biashara huko wewe kauka tu mtaani kwani kuna panya road kama 1500 ambawo kwa maelezo ya kamada Kova hataki kueleza wapo wapi, ila nafikiri watakuwa si mbali na huko posta kwani Central na makao makuu ya wanowadhibiti yapo hukohuko.
 
Habari wadau, poleni na pilika pilika za kutafuta ridhiki.

Nimeona niilete hii mada tuijadili hasa kwa wakazi wa jiji la dar-es-salaam.
Mwenzenu nikitembeleaga posta huwa nashindwaga kuwaelewa hawa mabinti yani some time hata kumsimamisha mrembo huwa nashindwa, mda wote wadada hawa wanajiona kama wapo USA wakati wengi wao wanatokea mitaa ya mbagala, tandika, manzese, tandale, gongolamboto nk ambapo ukiwakuta kwenye makazi yao huwezi kuamini kama umekutana nae posta, they act as they are very expensive as if posta ndio makazi yao ya kudumu. Kuweni wastaarabu sio tukikutana posta ndio mpande chati wakati wote tunaishi sehemu moja.

Mi mkazi wa Dar, kwa hiyo tuijadilije hii kitu?
 
Usiangaike wewe kariri sura then hao hao utawakuta usiku katika mawindo unabeba tu kama pocket inaongea

Ww ndo umetoa ushauri wa maana na km ni muelewa atakuwa kakusoma vizuri mkuu.
 
Umetongoza wa ngapi hadi ukaja na hili hitimisho
 
mda wote wadada hawa wanajiona kama wapo USA wakati wengi wao wanatokea mitaa ya mbagala, tandika, manzese, tandale, gongolamboto nk ambapo ukiwakuta kwenye makazi yao huwezi kuamini kama umekutana nae posta, they act as they are very expensive .

..unadharau kwasababu ya ulimbukeni..inferiority complex inakusumbua na kuongozwa na hisia hasi..achana na fikra mgando...
 
dah umenikumbusha posta...nlikuwa nakaa kwa beka fundi rangi hapo...nlishangoa motto mkali sana posta hapo dah..!
 
SAsa kama unakutana nao manzese na mbagala kwanini usiwatongoze uko ukawafate posta?
 
Umenikumbusha kuna mdada alikuwa anapika mama lishe keko lakin kitaa alikuwa anajifanya anafanya kaz Posta, yaan huyu mdada alikuwa ana swaga za ukweli yaan kila MTU aliamin huyu Dada Yuko Posta, kimbembe alikuja kufa ndio sir ilifichuka
 
..unadharau kwasababu ya ulimbukeni..inferiority complex inakusumbua na kuongozwa na hisia hasi..achana na fikra mgando...

mkuu dont under estmate person u dont know. Yawezekana wewe ndo unamawazo mgando..
 
Habari wadau, poleni na pilika pilika za kutafuta ridhiki.

Nimeona niilete hii mada tuijadili hasa kwa wakazi wa Jiji la Dar-es-salaam.
Mwenzenu nikitembelea Posta huwa nashindwa kuwaelewa hawa mabinti yani some time hata kumsimamisha mrembo huwa nashindwa.

Mda wote wadada hawa wanajiona kama wapo USA wakati wengi wao wanatokea mitaa ya Mbagala, Tandika, Manzese, Tandale, Gongolamboto nk ambapo ukiwakuta kwenye makazi yao huwezi kuamini kama umekutana nae posta, they act as they are very expensive as if posta ndio makazi yao ya kudumu.Kuweni wastaarabu sio tukikutana Posta ndio mpande chati wakati wote tunaishi sehemu moja.

wewe unaonyesha ni limbukeni,na una inferiority complex....kuongea nao umeshindwa kwasababu hujiamini sasa ulijuaje wanakaa manzese,tandale,gombs n.k??? kwani huko hamna wanawake wazuri au wewe ni nani kila mtu akikuona akubabaikie...na umeambiwa wazi huko posta ni sehemu ya mishemishe watu hawana muda wa kupoteza kusikiliza porojo zako,ukisimamisha demu akikuchunia potezea au kama ndio kilichokupeleka posta subiri alikuja na lengo kama lako umsimamishe atakusikiliza.
 
mkuu dont under estmate person u dont know. Yawezekana wewe ndo unamawazo mgando..

kwenye red ndio inadhibitisha either ni mnafiki wa kiwango cha juu ama ulimbukeni u swahiba wako...wewe wote unawafahamu mpaka useme wanajiona??

Mwenzenu nikitembelea Posta huwa nashindwa kuwaelewa hawa mabinti yani some time hata kumsimamisha mrembo huwa nashindwa

...tatizo lako unatafuta wa kumtupia lawama,,hakuna hata mfano wa tukio kuonesha ulijaribu....''inferiority complex''

Mda wote wadada hawa wanajiona kama wapo USA
ni kipimo kipi hicho kilichokudhibitishia wanajiona kama wapo USA..ilhali kumsimamisha umeshindwa?..au wamepigwa mihuri ya kujiona?/...Face your fears...ningekuona unajitambua kama ungekuja na mifano miwili mitatu ya mabinti unaowafahamu wakakuruka walipokuona huko Posta...Si ajabu hata presentation skills huna....
 
Back
Top Bottom