Vijimambo vya wadada wakiwa posta-DSM

Vijimambo vya wadada wakiwa posta-DSM

Kuna namna za kuwanasa tena kiulainiii... Inategemea na gea. Tena ukishapiga mara moja ya pili unachagua kiwanja hata mchangani mechi inapigwa. Wengi wao njaa kali. Ni gea tu!
 
Vipi mlimani city mkuu ushapita mitaa hiyo ni kama new yorke au la
 
JF inaperuziwa dunia nzima.Ukitaja sehemu i-specify mji,nchi n.k. ueleweke.Posta, Nakuru central in Kenya?
 
Wenzio wako busy na kilichowapeleka posta wewe unaacha kilichokupeleka posta na kutaka wadada. Kwa nini usiwasemeshe mkiwa huko mnakoishi? Kwani kila mtu anapotoka anakuwa smart zaidi, sasa wewe unawapenda wakiwa smart zaidi.

Hawana mpango na wewe kwa sababu na wewe mkiwa kwenu Mbagala huna mpango nao!!!

Kama wakiwa posta wanakuwa busy kwa ajili ya maendeleo yao basi wako sahihi kabisa kwani muda hautoshi!!

nani alikudanganya maendeleo yanapatikana posta pekee?
 
Mara nyingi maeneo hayo huwa ni maeneo ya kazi na kuna maofisi mbali mabali......Watu huwa hawana muda wa kupoteza....kila mtu yupo bize na lwake...labda kama mtoa mada ni mzururaji...........
i think you are right
 
Acha wanaume wa daresalame waitwe "wanaume wa daresalame" hivyo hivyo!
 
Mtu mshamba always akipata kidogo atataka kuishi in extravagant manner but walio nazo huwa wametulia koz wanajua zipo tuu...?soo hao mamanzi ni washamba na kujizungushaga Posta ndo tabia yao....?
 
Duu kwa kweli ni shida, cha ajabu salamu kwao ni kutongozwa, sio kujuliana hali. We mwambie tu habari yako uone kama unajibiwa.....
Lkn tunapaswa kujua hawa viumbe wapo kwa sbb wanaume tupo, ......
 
Back
Top Bottom