Vijimambo vya wadada wakiwa posta-DSM

Vijimambo vya wadada wakiwa posta-DSM

Deogratius n

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
1,193
Reaction score
254
Habari wadau, poleni na pilika pilika za kutafuta ridhiki.

Nimeona niilete hii mada tuijadili hasa kwa wakazi wa Jiji la Dar-es-salaam.
Mwenzenu nikitembelea Posta huwa nashindwa kuwaelewa hawa mabinti yani some time hata kumsimamisha mrembo huwa nashindwa.

Mda wote wadada hawa wanajiona kama wapo USA wakati wengi wao wanatokea mitaa ya Mbagala, Tandika, Manzese, Tandale, Gongolamboto nk ambapo ukiwakuta kwenye makazi yao huwezi kuamini kama umekutana nae posta, they act as they are very expensive as if posta ndio makazi yao ya kudumu.Kuweni wastaarabu sio tukikutana Posta ndio mpande chati wakati wote tunaishi sehemu moja.
 
Ukitaka kujua vizuri nenda ka observe sura pale posta, poteza kama masaa matatu fulani hivi mida ya saa 6 hadi 9 halafu baadae hamia Mwenge kule kwenye sagula anzia saa 10 hadi saa 1 hivi utapata unachotaka.
Hivi hauna shughuli lakini?
 
Habari wadau, poleni na pilika pilika za kutafuta ridhiki.

Nimeona niilete hii mada tuijadili hasa kwa wakazi wa jiji la dar-es-salaam.
Mwenzenu nikitembeleaga posta huwa nashindwaga kuwaelewa hawa mabinti yani some time hata kumsimamisha mrembo huwa nashindwa, mda wote wadada hawa wanajiona kama wapo USA wakati wengi wao wanatokea mitaa ya mbagala, tandika, manzese, tandale, gongolamboto nk ambapo ukiwakuta kwenye makazi yao huwezi kuamini kama umekutana nae posta, they act as they are very expensive as if posta ndio makazi yao ya kudumu. Kuweni wastaarabu sio tukikutana posta ndio mpande chati wakati wote tunaishi sehemu moja.

Posta ndiyo wapi?
 
Mara nyingi maeneo hayo huwa ni maeneo ya kazi na kuna maofisi mbali mabali......Watu huwa hawana muda wa kupoteza....kila mtu yupo bize na lwake...labda kama mtoa mada ni mzururaji...........

sio kweli.. Labda wewe ni mgeni.
 
posta si ndio mjini kwenyewe.. siku hizi hata huku tandale kwa mkunduge wanaringa
 
Habari wadau, poleni na pilika pilika za kutafuta ridhiki.

Nimeona niilete hii mada tuijadili hasa kwa wakazi wa jiji la dar-es-salaam.
Mwenzenu nikitembeleaga posta huwa nashindwaga kuwaelewa hawa mabinti yani some time hata kumsimamisha mrembo huwa nashindwa, mda wote wadada hawa wanajiona kama wapo USA wakati wengi wao wanatokea mitaa ya mbagala, tandika, manzese, tandale, gongolamboto nk ambapo ukiwakuta kwenye makazi yao huwezi kuamini kama umekutana nae posta, they act as they are very expensive as if posta ndio makazi yao ya kudumu. Kuweni wastaarabu sio tukikutana posta ndio mpande chati wakati wote tunaishi sehemu moja.

Wenzio wako busy na kilichowapeleka posta wewe unaacha kilichokupeleka posta na kutaka wadada. Kwa nini usiwasemeshe mkiwa huko mnakoishi? Kwani kila mtu anapotoka anakuwa smart zaidi, sasa wewe unawapenda wakiwa smart zaidi.

Hawana mpango na wewe kwa sababu na wewe mkiwa kwenu Mbagala huna mpango nao!!!

Kama wakiwa posta wanakuwa busy kwa ajili ya maendeleo yao basi wako sahihi kabisa kwani muda hautoshi!!
 
Back
Top Bottom