Pole sana RS,
Hayo ya shemeji yako mbona huwapata wengi sana? Kama walivyosema wengine, inawezekana shemeji yako hakupitia stages fulani katika ukuaji wake, kalimbukia pesa, ana pepo la ngono au kuna walakini kwenye ndoa yake.Lakini hata kama kuna walakini, suluhisho siyo kutaka hata ndugu wa damu maana wanawake wako tele, kuanzia huko kazini, mitaani ( changudoa) hadi wale wenye kuhitaji MBAs.
Huyo dawa yake ni kumpeleka kwenye level anayoigopa zaidi - pahala ambapo anahofu heshima yake itapotea mfano kama ni mkristo kanisani, au kwenye forums nyingine au watu anaowaheshimu sana.