Rah_sputin
Member
- Nov 3, 2009
- 83
- 10
hasante kwaushauri.tatizo munamuogopa sababu ana vijisenti,pia mmekuwa wanafiki kwa kuwa mnashindwa kumweka kiti moto live,haingii akilini ukoo wote mnanyea wakati ndugu yenu anaendeleza uchafu.mwambieni ukweli badala ya kulalamika pembeni.
Short and clear, awaambie tuu ukweli (nimeachana na babayenu kwa kuwa ni malaya) kama watoto ni wakubwa haya mambo wanayaelewa vizuri na watamchukia pia sana baba yao kwa tabia yake hiyo mbofu.
Hichi ndicho nachohofia zaidiShort and clear, awaambie tuu ukweli (nimeachana na babayenu kwa kuwa ni malaya) kama watoto ni wakubwa haya mambo wanayaelewa vizuri na watamchukia pia sana baba yao kwa tabia yake hiyo mbofu.
hata katika vitabu vya dini kwa wale wakiristu (Bible) mwanamke aliye na hekima huijenga nyumba yake naye aliye mpumbavu huibomoa nyumba yake mwenyewe. amechelewa nalkn ana nafasi bado kama atasugua goti.Fanyeni maombi, kwa Mungu hakuna linaloshindiakana, namshauri mke wake afunge na kuomba bila kuchoka ataacha tu huu ufirauni.
hasante kwaushauri.
Tatizo siyo kuwa tunamuogopa.tatizo ni kuwa ni mjanja sana kwa kuruka vihunzi akiulizwa na hakawii kusema wanamsingizia.wasichana wa kazi ambao wanamkataa basi atazusha tafrani hapo nyumbani hadi wafukuzwe kazi.dada yetu alikuwa anamuamini sana shemeji na aliamini kila analomuambia.
Hili la binamu sasa limemuumbua na hadi sasa limefikiswa kwa baba mzazi wa shemeji.bado tunasubiri itakuwaje.dada naye kaamua kuachana na mumewe huyu mkware. Tatizo, atawaambia nini watoto wake ambao sasa ni wakubwa?
Huu si uamuzi wa busara, ifike wakati tuwe na tahadhari kwamba kutokana na vyakula mbalimbali watu wanavyokula siku hizi yaweza kuwa ameathirika ki afya (ana nguvu za kiume kuliko anavyohitaji).Mtu huyu anastahili msaada, kwanza aonane na medical doctor halafu kama tatizo halitojulikana waende tiba asilia.
Kama huyo bi mkubwa huyo ni mume wa ujana wake nina hakika kama ingekuwa tabia yake kutoka mwanzao angekuwa ameishaifahamu kwa kuwa ni tabia mpya msi mzire huyo mpiganaji kuna familia zingine zina matatizo strikers kama hao wana hitajika sana, hiyo ni lulu isipotezwe.
Short and clear, awaambie tuu ukweli (nimeachana na babayenu kwa kuwa ni malaya) kama watoto ni wakubwa haya mambo wanayaelewa vizuri na watamchukia pia sana baba yao kwa tabia yake hiyo mbofu.
.....Inaonekana huyu,kuna stages fulani katika maisha aliziruka!Ninaye shemeji ambaye anatutia aibu sana sisi kwenye ukoo wetu.
Yeye hujifanya mtu wa heshima nyingi,ana cheo kikubwa, mali na kila kitu.ana mke na watoto na kila ambacho mtu angetamani akipate. Tatizo lake ni moja - kutaka kila sketi aionayo.tukianza na nyumbani kwake...
Hakuna mfanyakazi wa kike anaacha kumtaka kimapenzi. Kazini kwake kamaliza wanawake wote. Kibaya sasa anaanza kunyemelea ndugu zake wa damu!
Amekuwa akimlea binti mmoja yatima ambaye ni mwana wa shangazie - yaani binamu take. Amemsomesha hadi akamaliza. Sasa anamdai ujira wa mapenzi. Je huyu binti afanyeje? Amemkatalia lakini jamaa kakomaa tu. Binti kahama hadi nyumbani. Binti ni mcha mungu sana na hataki katakata kujiingiza kwenye uchafu huu wa binamu ambaye kwanza kamlea kama baba maana analingana na watoto wa huyu shemeji.
Mshaurini huyu yatima.
.....Inaonekana huyu,kuna stages fulani katika maisha aliziruka!