Vijimambo vya shalobalo kwa babu Loliondo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijimambo vya shalobalo kwa babu Loliondo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by B.O.G, Mar 27, 2011.

 1. B.O.G

  B.O.G Senior Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shalo balo mmoja alifika kwa babu kwa nia ya kupatiwa kikombe cha dawa,Baada ya kuwa amepatiwa kikombe hicho chakusitajabisha ni kwamba alibaki amekishikilia bila kunywa ndipo babu aka amua kumuuliza kulikoni! mbona haunywi dawa? mtumzima sharobalo akajibu Nasubiri mlija men! babu akamwambia hebu ondoka hapa.shalobalo akarudi nyuma kidogo kisha akasema ila nina VVU men.
   
 2. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Siku ya mabomu aliambiwa kimbia bomu linakuja akasema "ngoja nifunge raba bob".
   
 3. A

  Aron Mosha Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baadae akasema nasubiri tax baab!
   
 4. s

  shadhuly Senior Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  wakati wa mlipuko wa mabomu gongolamboto walitahadhaishwa kuongea na simu sharobaro akasema naongea na baby man
   
Loading...