B.O.G
Senior Member
- Feb 17, 2011
- 144
- 40
Shalo balo mmoja alifika kwa babu kwa nia ya kupatiwa kikombe cha dawa,Baada ya kuwa amepatiwa kikombe hicho chakusitajabisha ni kwamba alibaki amekishikilia bila kunywa ndipo babu aka amua kumuuliza kulikoni! mbona haunywi dawa? mtumzima sharobalo akajibu Nasubiri mlija men! babu akamwambia hebu ondoka hapa.shalobalo akarudi nyuma kidogo kisha akasema ila nina VVU men.