EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Tulieni leo Kagera Sugar anakuja kutibua hicho Kidimbwi.Mbumbumbu fc katika kilele cha ubora wao.
Subiri uone. Usicheze mbali na luninga hiyo baadae ili ujionee mwenyewe Wananchi wanavyo tandaza mabomba uwanjani.Tulieni leo Kagera Sugar anakuja kutibua hicho Kidimbwi.
Andaeni taarifa kuwa TFF inawahujumu, ndicho mnachokiweza tu.Subiri uone. Usicheze mbali na luninga hiyo baadae ili ujionee mwenyewe Wananchi wanavyo tandaza mabomba uwanjani.
Wanachechemea hadi saiviTulieni leo Kagera Sugar anakuja kutibua hicho Kidimbwi.
Ngapi hukoooo[emoji196][emoji196]Subiri uone. Usicheze mbali na luninga hiyo baadae ili ujionee mwenyewe Wananchi wanavyo tandaza mabomba uwanjani.
Utopolo wamekimbia woote mkuuNgapi hukoooo[emoji196][emoji196]
Hapana mkuu sahivi habari kuu ni marefa wanai hujumu yanga We subiri utaona tu press kila mahali tawi la yanga hadi kwenye HQ zaoKesho press inaitishwa kuhusu kesi ya Morison CAS π π π
Kocha amezingua leo. Amerudia tena makosa yake aliyo yafanya kwenye mechi dhidi ya Gwambina.π Ufupi tu hakuwa na sababu ya kumuacha nje mchezaji kama Mukoko na kumuanzisha Zawadi Mauya ambaye ni mchezaji anayependa kupuyanga tu uwanjani.Ngapi hukoooo[emoji196][emoji196]
Makosa ya marefa ni ya kawaida tu. Ni muda mrefu sasa wamekuwa wakifahamika kwa kuchezesha mechi nyingi za ligi chini ya kiwango.Hapana mkuu sahivi habari kuu ni marefa wanai hujumu yanga We subiri utaona tu press kila mahali tawi la yanga hadi kwenye HQ zao
Mabomba ya sukari yamewatoa machozi teh tehSubiri uone. Usicheze mbali na luninga hiyo baadae ili ujionee mwenyewe Wananchi wanavyo tandaza mabomba uwanjani.
Makosa ya marefa ni ya kawaida tu. Ni muda mrefu sasa wamekuwa wakifahamika kwa kuchezesha mechi nyingi za ligi chini ya kiwango.
Sare ya leo ilikua ni ya kujitakia tu baada ya kocha wa Yanga kuamua kutowaheshimu Kagera Sugar na hivyo kuwaacha wachezaji muhimu kama Mukoko nje. Huu upuuzi wa kocha ukiendelea, kuna dalili tukaja kunyang'anywa tonge mdomoni.
πππSubiri uone. Usicheze mbali na luninga hiyo baadae ili ujionee mwenyewe Wananchi wanavyo tandaza mabomba uwanjani.
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]Subiri uone. Usicheze mbali na luninga hiyo baadae ili ujionee mwenyewe Wananchi wanavyo tandaza mabomba uwanjani.
Ohoooo hoooohoooSubiri uone. Usicheze mbali na luninga hiyo baadae ili ujionee mwenyewe Wananchi wanavyo tandaza mabomba uwanjani.
[emoji196][emoji196]Utopolo wamekimbia woote mkuu
Poleni mkuu ndio ukubwa huuKocha amezingua leo. Amerudia tena makosa yake aliyo yafanya kwenye mechi dhidi ya Gwambina.[emoji56] Ufupi tu hakuwa na sababu ya kumuacha nje mchezaji kama Mukoko na kumuanzisha Zawadi Mauya ambaye ni mchezaji anayependa kupuyanga tu uwanjani.
Ila siyo mbaya! Hatukuwa pia na bahati. Tulikosa magoli mawili ya wazi dk za majeruhi.