Mwaka 2015 nilifanya maamuzi ya kutafuta shamba, Mungu mwema nikapata ekari 3 na nusu. Tangia hapo mpaka leo nimehangaika na hilo shamba kulibadilisha from pori, visiki, miiba, kupishana na majoka humo na majanga mengine mengi. Nimelilima kwa maana ya kulisafisha sasa ni safi pyeeeeeeeeeeeee.
Kipindi hicho nanunua, alikuwepo rafiki yangu ambaye nilikuja kugundua baadaye kuwa japo tuna fursa wote, maana tumeajiriwa, tuna mitazamo tofauti. Yeye hakuona haja ya kujihangaisha kote huko. Anapenda maisha flani ya kufanikiwa kimishen town hivii. Baada ya kusafisha shamba, mwaka jana nikaanza ujenzi wa nyumba ndogo hapo, maana mimi siamini katika kilimo cha remote control. Nataka niishi hapo hapo, nilime na niliangalie shamba langu. Mwaka huu niko kwenye harakati za kutoboa maji chini (drill)... Mungu akipenda kabla ya April nitakuwa nimefanikisha.
Sasa jamaa yangu amenijia, anataka tulime kwa utaratibu wa ubia. Eti tuchangie gharama za kilimo(mbegu, mbolea, dawa, palizi etc). alafu tugawane mavuno ya hicho tutakachopanda (iwe ni nyanya, tikiti, vitunguu etc.). Nimemwangalia hata simmalizi yaani, natamani nimjibu nahisi naweza kumtukana. Wote tuna mishahara, na kila mmoja ana uwezo wa kuwekeza. Nimesota miaka yote minne nateketeza nguvu zangu, muda, hela na rasilimali zingine. Kuchimba maji kwa mashine ya drilling ni wastani wa 10m. nimejipinda mtu katulia tuliiii. Leo kumenoga yeye anataka kutia timu, alafu anajifanya mjuaji sana yaani kiherehere chake utadhani ndo shamba lake anavyokuja kunipangia cha kufanya. Bwege sana
Huyo sio rafiki yako, huyo ni mnyonyaji ambaye ameona jitihada zako na urahisi wa yeye kupata chochote kwa jitihada ulizofanya,, unachpaswa kufanya ni kusema neno HAPANA,, kataa na sio kuweka maneno mengi au kulalamika ni neno moja tu HAPANA litakupa uhuru wa kufanya mambo yako na uhuru mwingine mwenyewe ataanza kusogea mbali
mkuu mwambie ukweli kuwa hayo yote anayo yataka unayaweza kama anaona viipi na yeye atafute shambaMwaka 2015 nilifanya maamuzi ya kutafuta shamba, Mungu mwema nikapata ekari 3 na nusu. Tangia hapo mpaka leo nimehangaika na hilo shamba kulibadilisha from pori, visiki, miiba, kupishana na majoka humo na majanga mengine mengi. Nimelilima kwa maana ya kulisafisha sasa ni safi pyeeeeeeeeeeeee.
Kipindi hicho nanunua, alikuwepo rafiki yangu ambaye nilikuja kugundua baadaye kuwa japo tuna fursa wote, maana tumeajiriwa, tuna mitazamo tofauti. Yeye hakuona haja ya kujihangaisha kote huko. Anapenda maisha flani ya kufanikiwa kimishen town hivii. Baada ya kusafisha shamba, mwaka jana nikaanza ujenzi wa nyumba ndogo hapo, maana mimi siamini katika kilimo cha remote control. Nataka niishi hapo hapo, nilime na niliangalie shamba langu. Mwaka huu niko kwenye harakati za kutoboa maji chini (drill)... Mungu akipenda kabla ya April nitakuwa nimefanikisha.
Sasa jamaa yangu amenijia, anataka tulime kwa utaratibu wa ubia. Eti tuchangie gharama za kilimo(mbegu, mbolea, dawa, palizi etc). alafu tugawane mavuno ya hicho tutakachopanda (iwe ni nyanya, tikiti, vitunguu etc.). Nimemwangalia hata simmalizi yaani, natamani nimjibu nahisi naweza kumtukana. Wote tuna mishahara, na kila mmoja ana uwezo wa kuwekeza. Nimesota miaka yote minne nateketeza nguvu zangu, muda, hela na rasilimali zingine. Kuchimba maji kwa mashine ya drilling ni wastani wa 10m. nimejipinda mtu katulia tuliiii. Leo kumenoga yeye anataka kutia timu, alafu anajifanya mjuaji sana yaani kiherehere chake utadhani ndo shamba lake anavyokuja kunipangia cha kufanya. Bwege sana
Mwaka 2015 nilifanya maamuzi ya kutafuta shamba, Mungu mwema nikapata ekari 3 na nusu. Tangia hapo mpaka leo nimehangaika na hilo shamba kulibadilisha from pori, visiki, miiba, kupishana na majoka humo na majanga mengine mengi. Nimelilima kwa maana ya kulisafisha sasa ni safi pyeeeeeeeeeeeee.
Kipindi hicho nanunua, alikuwepo rafiki yangu ambaye nilikuja kugundua baadaye kuwa japo tuna fursa wote, maana tumeajiriwa, tuna mitazamo tofauti. Yeye hakuona haja ya kujihangaisha kote huko. Anapenda maisha flani ya kufanikiwa kimishen town hivii. Baada ya kusafisha shamba, mwaka jana nikaanza ujenzi wa nyumba ndogo hapo, maana mimi siamini katika kilimo cha remote control. Nataka niishi hapo hapo, nilime na niliangalie shamba langu. Mwaka huu niko kwenye harakati za kutoboa maji chini (drill)... Mungu akipenda kabla ya April nitakuwa nimefanikisha.
Sasa jamaa yangu amenijia, anataka tulime kwa utaratibu wa ubia. Eti tuchangie gharama za kilimo(mbegu, mbolea, dawa, palizi etc). alafu tugawane mavuno ya hicho tutakachopanda (iwe ni nyanya, tikiti, vitunguu etc.). Nimemwangalia hata simmalizi yaani, natamani nimjibu nahisi naweza kumtukana. Wote tuna mishahara, na kila mmoja ana uwezo wa kuwekeza. Nimesota miaka yote minne nateketeza nguvu zangu, muda, hela na rasilimali zingine. Kuchimba maji kwa mashine ya drilling ni wastani wa 10m. nimejipinda mtu katulia tuliiii. Leo kumenoga yeye anataka kutia timu, alafu anajifanya mjuaji sana yaani kiherehere chake utadhani ndo shamba lake anavyokuja kunipangia cha kufanya. Bwege sana
Mkuu watu kama hao siku zote hawakosekani lakini kwa kuwa anataka kuwekeza kwenye wazo lako unaweza usimtupe:
Jambo la msingi kubaliana naye kuhusu gharama zote za mradi husika na wewe umeshawekeza kiasi gani, then andishaneni ili kila mtu apate faida kulingana na mtaji aliowekeza.
Kumbuka wafanyakazi wote ukiwemo wewe ni lazima mlipane mishahara then atapata RETURN kulingana na HISA zake mradi utapoanza kutoa faida.
Kama hataki, mpige chini.
Kwahiyo ndio umekuja kunitangaza huku rafiki?!
Mkuu pole sana, sijui nini kinakusumbua, kamwone daktari.Tuondolee Uwongo Wako Hapa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa hapo mteremko upo wapi?...mm nilidhani anataka bure kumbe anataka kuchangia mtaji sio jambo baya na kama hutaki unamweleza tu mbona sio tatizo.
Mkuu wala usimtolee mwana nje, kama unaona inafaa unaweza kuingia nae mkataba wa namna atakavyochangia na namna atakavyo faidi.
Mbona ni rahisi sana mkuu.
Mkuu kwanza hongera kwa hatua uliofikia, umewekeza pesa nyingi mpaka hapo. Changamoto halisi za kilimo zinaanza rasmi wakati mkulima anaanza kulima. Unaweza kufanikiwa vizuri shambani lakini soko likakuangusha na kufanya juhudi, muda na mtaji ziwe sawa na kazi bure. Na shambani kunaweza kuharibika au kutoa mavuno yasiyotarajiwa lakini soko likawa zuri.Mkuu sometimes inabidi kufikiria kwanza namna ya kumjibu, la sivyo ni rahisi kutukana. Ndo maana Mungu akatupa akili, na wanasaikolojia husema ukiwa na hasira usimjibu mtu. Unatulia kwanza alafu unashusha hasira kwanza. Maana yeye alitakiwa ajiongeze kichwani mwake walau hata awe na chembe ya aibu ili kuepusha mengine. Bado nafikiria namna ya kumjibu ila haya majibu ninayoandaa siku nikimjibu hatarudi kunisogelea.