ni kwa wanawake maskini tuu ndo wana nja njaa ila mtoto wa geti kali utamkuta yuko na size yake. ndo maana asilimia kubwa ya vijana wenye ngoma ni vischana jaman mabroo wenzangu tumuombe mungu atulinde pamoja na ndugu zetu wa kike waache tabia zao
wazeee ndio habari ya mjini ndugu no stress ,mawasiliano mnamwisho akiw kimya unajua upo na mkewake , hela cio ya mawazo inatoka mda ote uwiiii dom lin jaman