Vijana, wazee ndio wanawaharibia

Mkuu umeongea point! Yaan hata mi mitongozo ya waheshimiwa wazee hao ilinikutaga kisa nipate kazi! Mpaka leo hii sina permenent jobs kwa kugoma kwangu japo weng wananiona mshamba...

Nyinyi wazee achen tabia hzo muwapo na pesa au madarakan malipo ni hapahapa duniani bint zenu watagongwa na vizee zaidi ya vizee.
 
subiri na wewe utakapokuwa mzee utafaidi.
 
Sasa mzee atoke akatafute wazee shambani wakati kila kukicha anapishana na bint kigori mlangoni kwake. Khaa!!!

Acha kila mbuzi ale urefu wa kamba yake.
 

Ungekubali ungekuwa unapanga mstari kuchukua dozi.
 
Ntarudi baadae

Cc atoto
 
Last edited by a moderator:
Hatufuati pesa tu, wazee wanajua kucare jamani acheni tu, yaani ni stress free, unapewa penzi haswaaa, alafu wanajua sana kujiachia climax unafikishwa hadi unalia.

Mivijana sasa full stress, mapenzi halijui,pesa halina, kucare napo taabu, unalivumilia nalo linajiotesha mapembe, taabu yoote ya nini. Kaizer where are you, miss you ujue.
 
Last edited by a moderator:

Hapa babu Asprin na babu Dark City lazima wachekelee kwa misifa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…