Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
shida siyo pesa..
ni waelewa hawana utoto mwingi wa kutaka kuitana baby na kunyimana uhuru..
show zao zipo vizuri yaani ni gentlemen siyo wavulana hawa..
akiamka atume sms mara ahoji unafanya nini..mara umelalaje!
Duh!!!!!!!!!!Pamoja na pesa....
Wazee wanajua kutunzaa
Wanajua kubembeleza....
Pamoja na pesa....
Wazee wanajua kutunzaa
Wanajua kubembeleza....
Wewe BADILI TABIA yako, sio sahihi ulichokisema hapo.
Sio swala la usahihi au la....
Hicho ndicho hao wasichana wa siku hizi wanachokifuata
shida siyo pesa..
ni waelewa hawana utoto mwingi wa kutaka kuitana baby na kunyimana uhuru..
show zao zipo vizuri yaani ni gentlemen siyo wavulana hawa..
akiamka atume sms mara ahoji unafanya nini..mara umelalaje!
Pamoja na pesa....
Wazee wanajua kutunzaa
Wanajua kubembeleza....
point aiseee,,,,,,maswali maswali kama tuko kwenye mtihani ya hivi vivulana inachosha sana,mara uko wapi mara unafanya nini unanilinda kwani mimi mwanao alaaaaaahshida siyo pesa..
ni waelewa hawana utoto mwingi wa kutaka kuitana baby na kunyimana uhuru..
show zao zipo vizuri yaani ni gentlemen siyo wavulana hawa..
akiamka atume sms mara ahoji unafanya nini..mara umelalaje!
mimi ni kijana ila nakimbiliwa na warembo japo mi napotezea....so wanatuharibia wapi au kwa watoto wanaohitaji kuingia ndani ya gari....
point aiseee,,,,,,maswali maswali kama tuko kwenye mtihani ya hivi vivulana inachosha sana,mara uko wapi mara unafanya nini unanilinda kwani mimi mwanao alaaaaaah
hahaha! kwahyo wake zao wanatoka na akina nani?? mababu au?Sasa kila mtu si anaendana na mwenzake wa rika sawa au linalokaribiana. Kwanini huo u-gentlemen sio kwa wake zao?