S Shayla Senior Member Joined Mar 25, 2014 Posts 193 Reaction score 129 Nov 28, 2016 #1 Natafuta vijana wawili kwa ajili ya kazi ya kuuza ice cream. Aliyetayari au anamtu anayeweza fanya kazi hii ani PM. Natanguliza Shukrani
Natafuta vijana wawili kwa ajili ya kazi ya kuuza ice cream. Aliyetayari au anamtu anayeweza fanya kazi hii ani PM. Natanguliza Shukrani
mkandumbwe JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 424 Reaction score 371 Nov 28, 2016 #2 Wakike ama wa kiume??? Kuuza dukani ama kutembeza na baiskeli??? Biashara iki mkoa gani???
S Shayla Senior Member Joined Mar 25, 2014 Posts 193 Reaction score 129 Nov 28, 2016 Thread starter #3 Wakiume itakua vizuri ila hata wakike kama yupo sharp anakaribishwa.
UZZIMMA JF-Expert Member Joined Nov 20, 2014 Posts 414 Reaction score 483 Nov 29, 2016 #4 Shayla said: Wakiume itakua vizuri ila hata wakike kama yupo sharp anakaribishwa. Click to expand... Yani ni sheeda. Maelezo haba. Mtu anakutanulia maelezo kwa kukuuliza maswali, eti anajibu swali moja kati ya matatu aliyoulizwa! Haya wasubiri hao vijana wawili, watakuja sasa hivi!
Shayla said: Wakiume itakua vizuri ila hata wakike kama yupo sharp anakaribishwa. Click to expand... Yani ni sheeda. Maelezo haba. Mtu anakutanulia maelezo kwa kukuuliza maswali, eti anajibu swali moja kati ya matatu aliyoulizwa! Haya wasubiri hao vijana wawili, watakuja sasa hivi!