2hery
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,700
- 4,630
katika jamii yoyote ile rika lenye nguvu hupewa nafasi ya kipeke kufanya maamuzi ya mambo mbalimbali kwa manufaa ya wengine.
leo katika kuangalia kipindi cha dira ya dunia saa tatu usiku..mwandishi wa habari Zuhra yunis anadai kutokana na mahojiano na mfuasi wa alshabab moja ya sababu ya kujiunga na alshababu ni kitendo cha kudhululumiwa ujana wao.swali ni nini maana ya kudhulumiwa ujana na je vijana wa Tanzania wanapewa nafasi au wanadhulumiwa ujana wao?