Vijana wadogo Dar kuendesha magari ya kifahari, sie wengine tunakwama wapi?

Cute Cindy

JF-Expert Member
Apr 9, 2019
211
591
Nimezunguka dar hivi juzi kati wakazi wa Dar mtakuwa mashahidi wangu yani ukiangalia barabarani unakuta Kijana Mdogo in his 20's anendesha range rover new model au hummer 3 huku akiwa na airpod kwenye sikio.

Sasa unajiuliza huyu MTU anafanya kazi gani au wazazi wake ni matajiri kiasi gani.

Kweli wengine tumekuja hapa duniani kusindikiza watu.
 
Kuna wengine ni sharp shooters kama kina Ontario yaan kazi kazi tu deal zote za maana anazijua
 
Hayo ndio maisha ninayohitaji wanangu waishi, hakuna dhambi yenye mateso makali mithiri ya Moto wa jehanamu Kama umaskini
Wanatakiwa waishi 50/50
Ili ufanikiwe unahitaji ugumu kwa kiasi cha nusu ya maisha.
Kumpa raha ya moja kwa moja mtoto kwa jamii zetu za kiafrica ni kumpotosha,kuna leo na kesho huwezi kumtengenezea hela ya kutumia kwa muda wa maisha yake yote.Kuna leo na kesho ukifa ukamuacha ameshazoea raha atataabika maishani kitu ambacho hakuwahi kukizoea kabla.
 
Ina tegemea na misingi na uelewa uliomjenga nao...unategemea mtoto wa mengi aje kufirisika.., mo aliwekea misingi imara ndio maana Leo unamuona forbes
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom