Vijana waandamana mkoani Iringa kumshukuru Kikwete kuwarudisha kazini

Dunia Ina watu vichaa kweli mtu anakutengenezea majanga alafu anayatatua na kujiita yeye ndiye mkombozi wako hivyo mshangilie
 
Wameshindanishwa na Vijana wa wapi kupata hizo ajira?? Ajira siyo hisani, ajira siyo zawadi, Ajira siyo Takrima tuache kabisa hizi giriba. Watu wapate kazi kwa jasho siyo kwa maneno ya majukwaani. Narudia huu siyo utawala bora, sheria imevunjwa kweupeee. Vijana mnaotafuta ajira huu ni wakati mdai haki zenu mpaka mahakamani kwa huu upuuzi wa kupokwa haki zenu. Sheria ziko wazi
Hivi umewahi kuomba kazi halmashauri? Unafahamu michezo inayochezwa na baadhi ya watumishi wasio waaminifu? Mtu anawezaje kufanya na kutekeleza majukumu ya utendaji wa mitaa kwa miaka tisa halafu leo useme hana sifa?
 
Acha kukurupuka ndugu yangu.wizara imepita cv za hao vijana na imejiridhisha pasipo shaka kuwa vijana hao wana sifa na wamekidhi vigezo.lakini pia vijana hao wamefanya kazi hiyo na kukaimishwa majukumu ya utendaji wa mitaa kwa miaka tisa na muda wote wamefanya kazi na kutimiza majukumu yao kwa weledi na uaminifu mkubwa. Sasa iweje useme hawana sifa? Uliwapeje majukumu kwa miaka yote hiyo kama hawana sifa?
Mkuu unaujua mchakato wa upatikanaji wa ajira serikalini? Kuna vigezo na masharti sio kuhitolea…! Hao vijana walipitia mchakato wa ushindani? Kama walipata kwa mchakato wa ushindani na wakaajiriwa sidhani kama kungekuwa na mkanganyiko kuhusu ajira zao……! L
 
Kwani hujaona serikali ya Rais samia ikitoa maelfu ya ajira kwa vijana waliokuwa wamekata tamaa na kuishiwa matumaini.hujaona namna mh Rais alivyojitahidi kutengezea fursa za ajira kupitia miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa hapa Nchini.
Sasa wewe nani alikupaka mavi usoni ili uwe na gundi hatari hiyo hadi leo kila siku unaweka namba ya simu ila unapuuzwa tuu bila teuzi ? Ulilongwa na babu wa wachawi demu wewe
 
Ondoa hasira na jadili hoja kwa hekima, busara na staha. Usipende kumchukia mtu pasipo sababu ya msingi. Tunaweza kutofautiana kimawazo na bado tukakosoana kwa busara badala ya kushambuliana kwa matusi
 
Ndugu zangu watanzania,

Mkoani Iringa kuna vijana takribani 37 wameandamana mpaka ofisi za CCM kuishukuru serikali ya Rais samia kupitia Mh Ridhiwani Kikwete naibu waziri ofisi ya Rais menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora aliyefika mkoani hapo.

Vijana hao wamekuwa wakijitolea kwa miaka mingi katika nafasi za utendaji wa mitaa,mfano kuna wengine wamefanya kazi ya kujitolea na kufanya kazi na majukumu ya utendaji wa mitaa kwa miaka takribani tisa. Lakini ilipofika wakati wa kuomba ajira serikalini vijana hao wapatao 47 ambao walikuwa katika maeneo mbalimbali ya manispaa ya Iringa walijikuta vijana 37 wanaachwa kwa kigezo kuwa hawana sifa.japo wamefanya kazi ya kujitolea na kutimiza majukumu yao vyema kabisa.

Ridhiwani Kikwete akiongea kwa uchungu mkubwa na maumivu makubwa na huruma kubwa kwa vijana hao walioonyesha uzalendo kwa Taifa lao ,alihoji mamlaka mkoani Iringa kuwa iweje kwenye kuwafanyia usaili kuingia serikalini waseme vijana hao hawana sifa wakati wamefanya kazi hiyo kwa kujitolea na kukaimishwa nafasi za utendaji wa mitaa kwa muda mrefu? Akauliza unawezaje kumkaimisha mtu ofisi unayefahamu hana uwezo wala sifa?

Kikwete kwa uchungu mkubwa alisema muogopeni Mungu ndugu zanguu.na kusema kuwa kama wizara wamepitia na kuangalia wasifu wao na kila kitu na wamebaini na kujiridhisha kuwa vijana hao wana sifa na wamekidhi vigezo .hivyo kutoa maelekezo ya kuwarudisha vijana hao wote kazini.jambo lililo leta na kuamsha tabasamu,furaha na matumaini katika mioyo ya vijana hao wanaotoka familia maskini na wenye kutegemewa na familia zao zilizowasomesha kwa kujinyima na kujibana hadi kushindwa kupata milo mitatu ya chakula kwa siku ili mradi watoto wao wasome na kutimiza ndoto zao.

Hii ndio maana ya CCM kuwa Nuru,Tumaini na kimbilio la wanyonge. Ndio maana mtu akionewa au kunyimwa haki au kudhulumiwa haki yake anakuwa na matumaini kuwa akifika katika ofisi za CCM atapata majibu, tumaini na kufutwa machozi. Ndio maana vijana hawa walikimbilia ofisi za CCM tu na kuwaona viongozi wa CCM na kuwaeleza shida yao .ambapo viongozi wa CCM wakiongozwa na mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia CCM mh Ritha kabati waliwapambania vijana hawa kwa nguvu zao zote mpaka hatimaye wamepata haki yao.

Hii ndio serikali ya Rais samia inayotoa haki kwa haki kwa watu wote.haitaki dhuluma wala uonezi wala unyanyasaji wala ukandamizaji kwa watu au mtu.ni serikali safi na yenye matendo safi.ni sauti ya watu na mtetezi wa wanyonge. Watanzania endeleeni kuiamini ccm na serikali yake kwa kuwa imedhamilia kuwainua na kumshika mkono kila mtu mwenye kuhitaji msaada au sauti ya kumtetea au kumsaidia au kumuwezesha kusonga mbele.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
So pathetic! Eti wanaishukuru CCM kwa kuwarudisha kazini! CCM wamefsnya vijana ww nchi hii kama mazombie! Sasa CCM wana viwanda? Wamebuni ni ni?
Hii ndio tunaita "Stockholm Syndrome"Una Jenga upendo na watesi wako! Kijana anapewa viajira uchwala havina hata future yoyote,(huwezi kukuta mtoto wa waziri anafsnya hizo, kazi),
CCM ni shetani in political system,
 
Dalili za Stockholm Syndrome,
CCM walipofikisha vijana wa bongo!
Unashukuru kwa kupewa kipande cha muhogo mkavu na mwizi aliyekuibia keki na mkate wa siagi!
Haki ya na ni vile, CCM ni motoni milele.
View attachment 2822821
1700795044004.jpg
 
Ndugu zangu watanzania,

Mkoani Iringa kuna vijana takribani 37 wameandamana mpaka ofisi za CCM kuishukuru serikali ya Rais samia kupitia Mh Ridhiwani Kikwete naibu waziri ofisi ya Rais menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora aliyefika mkoani hapo.

Vijana hao wamekuwa wakijitolea kwa miaka mingi katika nafasi za utendaji wa mitaa,mfano kuna wengine wamefanya kazi ya kujitolea na kufanya kazi na majukumu ya utendaji wa mitaa kwa miaka takribani tisa. Lakini ilipofika wakati wa kuomba ajira serikalini vijana hao wapatao 47 ambao walikuwa katika maeneo mbalimbali ya manispaa ya Iringa walijikuta vijana 37 wanaachwa kwa kigezo kuwa hawana sifa.japo wamefanya kazi ya kujitolea na kutimiza majukumu yao vyema kabisa.

Ridhiwani Kikwete akiongea kwa uchungu mkubwa na maumivu makubwa na huruma kubwa kwa vijana hao walioonyesha uzalendo kwa Taifa lao ,alihoji mamlaka mkoani Iringa kuwa iweje kwenye kuwafanyia usaili kuingia serikalini waseme vijana hao hawana sifa wakati wamefanya kazi hiyo kwa kujitolea na kukaimishwa nafasi za utendaji wa mitaa kwa muda mrefu? Akauliza unawezaje kumkaimisha mtu ofisi unayefahamu hana uwezo wala sifa?

Kikwete kwa uchungu mkubwa alisema muogopeni Mungu ndugu zanguu.na kusema kuwa kama wizara wamepitia na kuangalia wasifu wao na kila kitu na wamebaini na kujiridhisha kuwa vijana hao wana sifa na wamekidhi vigezo .hivyo kutoa maelekezo ya kuwarudisha vijana hao wote kazini.jambo lililo leta na kuamsha tabasamu,furaha na matumaini katika mioyo ya vijana hao wanaotoka familia maskini na wenye kutegemewa na familia zao zilizowasomesha kwa kujinyima na kujibana hadi kushindwa kupata milo mitatu ya chakula kwa siku ili mradi watoto wao wasome na kutimiza ndoto zao.

Hii ndio maana ya CCM kuwa Nuru,Tumaini na kimbilio la wanyonge. Ndio maana mtu akionewa au kunyimwa haki au kudhulumiwa haki yake anakuwa na matumaini kuwa akifika katika ofisi za CCM atapata majibu, tumaini na kufutwa machozi. Ndio maana vijana hawa walikimbilia ofisi za CCM tu na kuwaona viongozi wa CCM na kuwaeleza shida yao .ambapo viongozi wa CCM wakiongozwa na mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia CCM mh Ritha kabati waliwapambania vijana hawa kwa nguvu zao zote mpaka hatimaye wamepata haki yao.

Hii ndio serikali ya Rais samia inayotoa haki kwa haki kwa watu wote.haitaki dhuluma wala uonezi wala unyanyasaji wala ukandamizaji kwa watu au mtu.ni serikali safi na yenye matendo safi.ni sauti ya watu na mtetezi wa wanyonge. Watanzania endeleeni kuiamini ccm na serikali yake kwa kuwa imedhamilia kuwainua na kumshika mkono kila mtu mwenye kuhitaji msaada au sauti ya kumtetea au kumsaidia au kumuwezesha kusonga mbele.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Tupo pamoja mkuu lakini swali langu je hao viana walinyimwa ajira na serikali gani?
 
nakuombea na wewe upate ajira
 
Wameshindanishwa na Vijana wa wapi kupata hizo ajira?? Ajira siyo hisani, ajira siyo zawadi, Ajira siyo Takrima tuache kabisa hizi giriba. Watu wapate kazi kwa jasho siyo kwa maneno ya majukwaani. Narudia huu siyo utawala bora, sheria imevunjwa kweupeee. Vijana mnaotafuta ajira huu ni wakati mdai haki zenu mpaka mahakamani kwa huu upuuzi wa kupokwa haki zenu. Sheria ziko wazi
Nchi imekuwa ya kijinga sn, hao utakuta ni UVCCM tupu
 
Tupo pamoja mkuu lakini swali langu je hao viana walinyimwa ajira na serikali gani?
Hawakunyimwa na serikali bali walifanyiwa hujuma na watumishi wachache wasio na huruma wala utu wala hofu ya Mungu.ndio maana taarifa zilipoifikia serikali Sikivu ya mama samia kutoka kwa chama cha CCM kilicho mtetezi wa wanyonge na sauti ya wanyonge hatua za haraka zikachukuliwa kuwapa tabasamu, furaha, matumaini na kuwafuta machozi .

ndio maana unaona vijana wakaamua kufanya maandamano kutoa shukurani zao kwa chama na serikali yao sikivu.
 
Back
Top Bottom