Vyote hivyo anavipata bure? Atakuwa ana shughuli.Wengi wao vijana wanaishi hawaangalii maisha ya baadae hivyo wanaigiza maisha utakutana na kijana kavaa jeans 30k viatu 100k koti la 70k simu ya 600k hana ishu yoyote mjini bia kila siku za ofa ukimuona unaweza sema pesa zipo afu anakwambia sina mtaji magu kabana
ushawaona wakinga kwenye nyama Choma? Hao jamaa ni bahiri asikwambie mtuUkimwonaa kijanaa mkingaa mjini ana helaa ujue kashamfanyaa mama yake chizii au kashatoaa kafaraa Kwa MTU yyt ktkt familiaa yaan wakinga wana roho ngumu haoo
huwa inanishangaza watu wanavyowazushia wakinga kuwa pesa zao zinatokana na kuua mama zao hawa jamaa ni wabahiri kama kuna mganga anakupa masharti hayo usitumie pesa hovyo huyo mganga ni mshauri kama pesa zingekuwa zinapatikana bila kuzitolea jasho hawa jamaa wangekuwa wanaongoza kwa bataushawaona wakinga kwenye nyama Choma? Hao jamaa ni bahiri asikwambie mtu
Ukweli vijana wa siku wamefanikiwa sana zamani wazee wetu walikuwa wanaajiriwa au wanajiajiri lakini walikuwa wakiishi kimsoto msoto sana.
Lakini vijana wa siku hizi unawakuta wanamiliki nyumba hapa mjini pamoja na kumiliki mikoko ya maana huku kila weekend hawakosi kuchoma nyama.
Japo kuna vijana wengine ni msoto lakini baadhi yao wako vizuri kama hawa vijana ambao wamefanikiwa wakiamua kuwapiga tafu wenzio mambo yangekuwa bamba to bamba.
Nnarafiki zangu wakinga wanahela balaa lakin akikupa offer kubwa ujue ni pepsihuwa inanishangaza watu wanavyowazushia wakinga kuwa pesa zao zinatokana na kuua mama zao hawa jamaa ni wabahiri kama kuna mganga anakupa masharti hayo usitumie pesa hovyo huyo mganga ni mshauri kama pesa zingekuwa zinapatikana bila kuzitolea jasho hawa jamaa wangekuwa wanaongoza kwa bata
Chief epukana na mawazo hayo piga kazi kwa bidii matunda utayaona-Ukimwonaa kijanaa mkingaa mjini ana helaa ujue kashamfanyaa mama yake chizii au kashatoaa kafaraa Kwa MTU yyt ktkt familiaa yaan wakinga wana roho ngumu haoo
Mbona kinyume nyume?Fanya kazi kama king uje uishi kama slave
Mkuu Pesa za Majini, Chunguza vidoleni mwao utapata majibu..Ukweli vijana wa siku wamefanikiwa sana zamani wazee wetu walikuwa wanaajiriwa au wanajiajiri lakini walikuwa wakiishi kimsoto msoto sana.
Lakini vijana wa siku hizi unawakuta wanamiliki nyumba hapa mjini pamoja na kumiliki mikoko ya maana huku kila weekend hawakosi kuchoma nyama.
Japo kuna vijana wengine ni msoto lakini baadhi yao wako vizuri kama hawa vijana ambao wamefanikiwa wakiamua kuwapiga tafu wenzio mambo yangekuwa bamba to bamba.
si wote mkuu, chapa kazi, pata pesa tumia pesa hakuna kingineMkuu Pesa za Majini, Chunguza vidoleni mwao utapata majibu..
Wakinga wanajituma sana katika kazi, na ni wagumu sana kufanya matumizi ya ovyo ovyo! Ndio sababu ya mafanikio yao. Sisi wengine matumizi makubwa kuliko mapatoushawaona wakinga kwenye nyama Choma? Hao jamaa ni bahiri asikwambie mtu
Kweli kabisa hilo ndo mana tunatofautiana kuna watu ukiwapa ata kama mtaji 2M ndani ya mwaka utakuta yupo mbali ila kijana mwingine utakuta tayari mtaji umekufa ata mwaka haujaishaWakinga wanajituma sana katika kazi, na ni wagumu sana kufanya matumizi ya ovyo ovyo! Ndio sababu ya mafanikio yao. Sisi wengine matumizi makubwa kuliko mapato