Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,852
- 58,642
Sawa mkuu na je nataka kujua hv kwenye kubadilisha staili kuna zingine za ajabu vipi unazani kichwani kwake haitoleta mtafaruku..Hii ni general rule lakini inategemea mtu na na mtu,pia ukimkuta mwanamke ana mahitaji tofauti polepole mbadilishe afate mtindo huu,japo itachukua muda lakini akikuzoea atafaidi sana nawe pia utaenjoy sana na mtaepuka mambo mengi
Mimi kupita kimya na ninaona hii ni chai ndio kitu ziwezagi madam😅😊 Sielewagi wana JF wanalalamikia kile wanaona sio chai kama vile hakutakuwepo wanaopata kitu kwa uzi za wengine.. Na kuna mada nyingi humu au waanzishe yao.
Wapitege kimya kimya.. Wengi tunafanya hivyo😀
Kuhusu staili,zipo nyingi,wewe tumia zile ambazo sio ngumu na ambazo wewe na yeye wote mtafaidi.Hawezi kukuelewa vibaya maana inategemea mlivyoshibanaSawa mkuu na je nataka kujua hv kwenye kubadilisha staili kuna zingine za ajabu vipi unazani kichwani kwake haitoleta mtafaruku..
Niliwahi fanya moja hyo akabaki anauliza hv wote unawafanyiaga hv au..
Wengine wanajifanya kama hawataki vile,Kumbe kimoyomoyo wameibeba hiyo🤓🤓🤓🤓Ni wachache sana ambao tumejitoa muhanga
ngulumbili nawajuaWengine wanajifanya kama hawataki vile,Kumbe kimoyomoyo wameibeba hiyo🤓🤓🤓🤓
Sawa sawa mkuu je kuna ile.hali ya aibu unakuta mfano unafanya hicho kitu na mtu mzima kidogo..Kuhusu staili,zipo nyingi,wewe tumia zile ambazo sio ngumu na ambazo wewe na yeye wote mtafaidi.Hawezi kukuelewa vibaya maana inategemea mlivyoshibana
Mi nimejitoa hapa najua watu watanitumia maswali kibao ili nimuulize mwamba hapaWengine wanajifanya kama hawataki vile,Kumbe kimoyomoyo wameibeba hiyo🤓🤓🤓🤓
Kwenye mapenzi ni lazima uondoe aibu,mtu akishakubali kukuvulia basi aibu ondoa,na kingine kwa taarifa yako watu wazima kama sisi ndio tunaopenda adventurism kwenye sex,wewe piga geuza,birigua,kanyagana kufinyangaSawa sawa mkuu je kuna ile.hali ya aibu unakuta mfano unafanya hicho kitu na mtu mzima kidogo..
Hvi unatimia njia gani kumwambia kuwa nataka dogy
Safi kabisa.... Hapo nimekuelewa...asante mkuuKwenye mapenzi ni lazima uondoe aibu,mtu akishakubali kukuvulia basi aibu ondoa,na kingine kwa taarifa yako watu wazima kama sisi ndio tunaopenda adventurism kwenye sex,wewe piga geuza,birigua,kanyagana kufinyanga
Njoo uchote madini kijanaSafi kabisa.... Hapo nimekuelewa...asante mkuu
Nafikili baada ya mda takuja tena mkuu maana nina show moja nataka nifanye kitu ili niteke mazima mana huyu bila kuwa seriously naweza kosa pesa ya kibanda changu hapaNjoo uchote madini kijana
Yaani unamaliza gemu halafu unazama chumvini,aisee ujuaji mwingi mwisho wake ni mbaya.Vijana wa sasa hawajui kabisa sanaa ya kusex.Dosari zao kubwa ni hizi:
1.Hawajui namna ya kumuandaa mwanamke.Mwanamke yafaa kuandaliwa mapema sana yaani toka asubuhi,mchana na jioni kwa tendo litakalofanywa usiku
2.Hawajui namna ya kumuanza mwanamke.Mwanamke muanze kwa maneno ya mahaba,vitendo vya kinyegenyege na mitomaso ya kinyegenyege pia
3.Kusex kwa staili zaidi ya moja,ikiambatana na romansi inayonakshiwa na asali,chokileti isiyo na biskuti,pipi kifua au pipi mti
4.Maongezi huku tendo likiendelea,vijana wa sasa hili hawalinui kabisa
5.Namna ya kumalizia tendo.Vijana wengi humaliza vuuuuup na kachomoa uume na kukamata simu kuchat.Muandae mwanamke kumaliza.Mpe notisi kuwa unakaribia kumaliza game,ili usikie atakuambiaje,anza kwa kumsifia alivyo mrembo,sifia kila kiungo chake,msifie mama yake aliyemzaa,kama unamfahanu jina lake,mtaje mama yake kwa sifa za kila aina,zile dakika 5 za mwisho ongeza spidi kama vile unataka kumtoboa kabisa,atatoa maneno nawe toa maneno yako mengi tu,na ukimaliza tulia huku mnahemeana kwa dakika 10,ndipo uchomoe na moja kwa moja nenda chumvini kwa dakika 5,ndipo unamaliza game kwa asante
🤣🤣🤣🤣🤣Mi nimejitoa hapa najua watu watanitumia maswali kibao ili nimuulize mwamba hapa
Ni mtandao wa umma unanipangia nisome au nisisome angekuandikia kwenye dm yako nisingekua tatizoKwani umelazimishwa kusoma huu uzi?
kabla hujafa hujaumbwa,hebu tafiti scatsex halafu linganisha ni hii ya chumviniYaani unamaliza gemu halafu unazama chumvini,aisee ujuaji mwingi mwisho wake ni mbaya.
Nilimiss JF jamani...kwani wanaume inakuaje unapaka mate kwenye K??? Inakuaje huwezi kuunganisha na wenzio wanaweza? Inakuwaje huez jichelewesha na mwenzio amalize???,Vijana wa sasa hawajui kabisa sanaa ya kusex.Dosari zao kubwa ni hizi: