Vijana wa sasa hawajui kusex

jaduong onyango,ere wach?
 
Kuna dada mmoja aliongea kule Twitter(X), kwamba mwanamke kama anakupenda na kakuweka Moyoni na akilini mwake pia, kitendo Cha wewe kumgusia Nia ya tendo, tayari ashalowa.
Na Mimi hili silipingi,Nina ushuhuda nalo.
Kuna wanawake nilishawahi ku date nao,yaani huna haja ya kumuandaa Wala Nini,lakini mwenyewe anafika juu ya mlima Kilimanjaro hata mara Tano.
Lakini nilishakumbana na magubegube,linawaza madeni ya vikoba tu,na linawaza utalipa shilingi ngapi baada ya mechi,fanya kufanyavyo,halifiki kileleni.
 
Asante kwa mawazo yako,ama kuhusu kuwa mie ni kijana,mini naweza kukuzaa wewe jomba
 
Usemayo ni kweli,kuna general rule halafu kuna exceptional rule
 
Hivi unasema kumwandaa ... Hv kumwandaa ukiwa nae pale unatumia dakika ngap.mana mi naweza kwenda mpaka yeye mwenyew ndo akawa anafosi nimpige pipe iyo ipoje
Hii ni general rule lakini inategemea mtu na na mtu,pia ukimkuta mwanamke ana mahitaji tofauti polepole mbadilishe afate mtindo huu,japo itachukua muda lakini akikuzoea atafaidi sana nawe pia utaenjoy sana na mtaepuka mambo mengi
 
Mdada kumbe na wewe mtata😅

😊 Sielewagi wana JF wanalalamikia kile wanaona sio chai kama vile hakutakuwepo wanaopata kitu kwa uzi za wengine.. Na kuna mada nyingi humu au waanzishe yao.

Wapitege kimya kimya.. Wengi tunafanya hivyo😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…