Vijana wa kizazi hiki

Vijana wa kizazi hiki

Divergent

Member
Joined
Jul 26, 2015
Posts
44
Reaction score
11
Habari zenu wapendwa,

Naomba kuuliza.

Kwanini vijana wengi siku hizi hasa vijana wa jinsi ya kike wanapenda sana hela na tamaa ya mali?

Why hawana uvumilivu wa maisha wanapenda mteremko mwanzo mpaka mwisho?

Naombeni mnisaidie maana naona maskini wengi wanaibiwa hadi wananyang'anywa wake/wapenzi wao na wengi waliofanikiwa kimaisha wenye mali/pesa.
 
Maisha ya sasa hivi pesa inatumika kila dakika
wewe ku post tu JF umetumia pesa
kupokea tu watsap message simu lazima iwe na bundle ambayo ni pesa
24 hours now tunatumia pesa
hata watsap sms zinazoingia ukiwa umelala zinahitaji pesa kukufikia

mahitaji ya pesa ya kizazi hiki ni makubwa sana kulinganisha na zamani
na mabinti sasa wanashindwa ku keep up kwa kutegemea pocket money za baba au mama
 
Pesa inarun dunia na sio mapenzi tena...

theboss umemjibu vizuri sana mkuu
 
Last edited by a moderator:

Duuuu!
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri.
 
nakuunga mkono mkuu,mwambie pia hata kutoka kwao kwenda kwake anatumia pesa pia kama nauli
 
Maisha ya sasa hivi pesa inatumika kila dakika
wewe ku post tu JF umetumia pesa
kupokea tu watsap message simu lazima iwe na bundle ambayo ni pesa
24 hours now tunatumia pesa
hata watsap sms zinazoingia ukiwa umelala zinahitaji pesa kukufikia

mahitaji ya pesa ya kizazi hiki ni makubwa sana kulinganisha na zamani
na mabinti sasa wanashindwa ku keep up kwa kutegemea pocket money za baba au mama
mtoa mada uwe unasoma hii comment iwe kama sala
 
Hehehee. Miss chagga! Sala haipogo hvyo.. duu afu weye mchagga na pesa.. mhhhh!
 
Our life is CREAM!
C-cash, R-rules,
E- everything, A-around, U-us!
 
Sasa vitaimana hiyo CREAU ama CREAM? Maana umemalzia na U-us, nilitegemea umalzie na M-me.
 
Tuambie kilichokukuta ndugu! mana kama una dukuduku hivi....
 
Bila shaka mzee utakuwa umekutana na kikosi cha mizinga..sio bure..,
 
Mkuu Unataka kuvua samaki huku huna chambo
???

Kuwa na pesa mkuu uone watt wa kike watakavyokupenda
 
Hujui kwamba fedha imeshika kila kitu....????
 
Back
Top Bottom