DEKABOY
Member
- Jun 28, 2012
- 38
- 7
Hakuna ubishi ya kuwa taifa lolote linakombolewa na vijana. Lakini je vijana wa Tanzania tunajua hilo au tunabakia kupiga kelele bila kuonesha upambanaji wa dhati ili kulikomboa taifa letu? Tuamke vijana tusikalie kuvaa miregezo kwa vijana wa kiume na kuvaa nusu uchi kwa vijana wa kike. Note, TAIFA NI LETU SIE VIJANA.