G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,598
- 36,022
Wadau, kama mtakumbuka kuna vijana saba wa IT-Lumumba waliokuwa sana humu Jamii Forum na mitandao mingine.
Chanzo changu cha kuaminika kutoka Lumumba ni kuwa vijana hao wote saba wakiongozwa na boss wao wa kitengo hicho Asenga Abubakar na Gulam waliteuliwa na rais John Magufuli kuwa makatibu tawala wa wilaya (DAS) kwenye wilaya tofauti nchini.
Hawa ndiyo vijana waliopigiwa chapuo na rais mstaafu Kikwete akimuomba rais Magufuli awakumbuke kwa kazi nzuri waliyoifanya wakati wa kampeni.
Naomba niwapongeze kwa kazi nzito mliyoifanya ikiwemo kuungaunga picha wakati wa kampeni kwani matunda yenu yameonekana.